nicholaus omollo
Member
- Jan 2, 2014
- 24
- 3
Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje kisheria ili nipate ata iyo milion moja yangu aksanteni