Msada wa kisheria

Benjamin mathayo

Senior Member
Mar 6, 2016
112
29
Msada kisheria naomba mnueleweshe kama unahitaji kujenga nyumba kijijini gorofa moja ndogo tu kama ya vyumba 3 chini na vitatu juu inakulazimu ufuate utalatibu au unajenga tu?maana naviwanja bado havijapimwa.
 
Sheria ya ardhi ya vijiji siyo lazima kiwanja cha kijijini kipimwe! Hivyo kama una hati ya ardhi ya kimila jenga tu hiyo ghorofa
 
Asante sana kiongozi lkn ngongeza je kuna ulazima wa kutumia enjenia au kuomba kibali cha ujenzi?
 
Bila injinia hiyo nyumba si itamwagika???

Tenasi tu injinia hata michoro ipelekwe kwenye bodi yenu la sivyo watakusumbuuuuuuùaaaaa
 
Back
Top Bottom