Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
naomba msaada kuna muwekeza anataka kuingia ubia
ameniandikia hivi sasa nifanyaje
would like to have separate partnership agreements with each of them (need to work with lawyer there) to form...
Wadau nina ndugu yangu ambaye amefiwa na mkewe baada ya miaka minne ya ndoa yao ya kikristo.wote walikuwa ni wafanyakazi wa serikali kabla na baada ya kuoana.walipooana ndugu huyu alikuta marehemu...
Nikiwa barabarani nakokota pikipiki nikielekea kwa fundi, gafla akatokea jamaa kavaa kilaia, na kuniomba anikague, nikamruhusu, akabaini bima imeisha na element haikuwepo, nikaahilisha kwenda kwa...
Habari zenu wanajukwaa,
Samahani nilikuwa naomba msaada wa kesi zinazohusu kosa la utakatishaji wa pesa. (Money laundering) ambazo zishahukumiwa tayari.
MKAZI wa kijiji cha Kidamali, Joseph Balami juzi alihukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu kanda ya Iringa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Stani Singaile (42) kwa makusudi.
Ilidaiwa...
Wamiliki wengi wa magari ya binafsi au biashara wanatembelea mikataba ya mauziano bila kwenda TRA na kubadili umiliki ili jina lisomeke kwenye kadi(motorvehicle registration card)ya gari kwamba...
Ndugu zangu wana JF habari Kuna mama wakizenji (kama si pepo) ameniamulia na amezamilia kuvunja ndoa yangu Huyu mama ananipigia simu nakunitumia sms akidai nimemtelekeza mtoto...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza mwanangu yuko kidato cha kwanza sasa. Nilihisi ana mahusiano na jamaa mmoja mfanyakazi wa umma na nilifanya mawasiliano na mwalimu wa malezi ili amuulize...
Wakuu Salamaa? Naombeni muongozo wa kisheria juu ya jambo lifuatalo;
Kunashamba ambalo mmiliki anashida na anahitaji kuniuzia ila shamba lenyewe kuna mtu analima (kawekewa rehani mpaka afanye...
Sabakher Wanasheria;
Naomba Mnisaidie! Ikitokea Wazaz Wa Mama Yangu {babu na bibi Yangu} Wakafariki! Na Wakati Wa Ufuatiliaji Wa Mirathi Mama Yangu Nae Akafa! Je Katika Ule Mgao Wa Mama Kama Mtoto...
Nilifiwa na mzazi wangu ambae alikuwa mtumishi nikiwa mdogo sana.Mpaka leo yapata miaka 18. Nimejaribu kufuatilia mirathi katika halmashauri husika nakaambiwa hakuwa anachangia mfuko wowote ,hivyo...
Kuna shida kwenye nguzo inayoingiza umeme kwangu. nilienda kutoa taarifa tar 2/4/2016 hadi leo hawajaja! nimerudia kutoa taarifa jana na leo. lakini hadi sasa hawajaja! hapa kwangu nina mashine ya...
Wakuu nawasalimu...
Ama baada ya salamu naomba msaada wa kisheria kuhusu hili.
Mimi ni msimamizi wa mirathi na taratibu zote zilifatwa mpaka nikateuliwa kuwa mrithi.Tatizo ni kwamba nyumba...
Hbr zenu wana jf, imetokea mlalamikaji amewaomba mashahidi waliohudhuria tukio wakatoe ushahidi mahakamani wakakataa, mlalamikaji inatakiwa afanye kipi ili kupata haki yake
wakuu habari zenyu..
Wakati fulani nikiwa ndio nakua kwenye miaka ya 90s hivi kulikua na kesi moja nilikua naisikia kwenye vyombo vya habari ilikua inamhusu mzungu mmoja ( kama sijakosea...
Kwa wale ndugu zangu wanaosoma sheria,
Kuna Kitabu cha Mzee Samatta Kinaitwa Rule of Law VS Rulers of Law.
Ukipata pesa jitahidi ukitafute; kimekusanya kesi nyingi alizozihukumu.
Na kama ukisoma...
Abari zenu wadau, nimepatwa na mtihani baada yaku mzamini rafikiangu fulani
bank, ili aweze kupewa mkopo. sasa baada alipo pewa huo mkopo wa milioni 4, amerejesha rejesho 4tu, akaingia mitini...