MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,033
- 64,844
Kwa wale ndugu zangu wanaosoma sheria,
Kuna Kitabu cha Mzee Samatta Kinaitwa Rule of Law VS Rulers of Law.
Ukipata pesa jitahidi ukitafute; kimekusanya kesi nyingi alizozihukumu.
Na kama ukisoma vizuri zitatanua sana uelewa wako, hasa kwenye falsafa ya sheria na matumizi ya Common Law Principles.
Nilikikuta pale Mkuki na Nyota katika pitapita zangu na nikakinunua,
Sasa kama utaweza tafadhali kitafute. Kinachangamsha sana ubongo na kukufanya ufikiri.
Gharama yake ni Shillingi elfu 25000/= tu za kitanzania.