Mlalamikaji akikosa shahidi inakuwaje

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Hbr zenu wana jf, imetokea mlalamikaji amewaomba mashahidi waliohudhuria tukio wakatoe ushahidi mahakamani wakakataa, mlalamikaji inatakiwa afanye kipi ili kupata haki yake
 
Mlalamikaji anatakiwa aimbie mahakama , kisha mahakama itampa summons/ barua ya wito mahakamani, ambapo kushindwa kutii wito huo itakuws ni ukiukwaji w sheria na mahakama ya weza kutoa barua yakumkamata shahidi ahudhurie mahakamani. Ndy ndugu
 
sasa ikitokea hujampata huyo shahidi ili umpe hiyo barua itakuaje??
 
Kwanza ni vizuri ieleweke kuwa kukimbia au kukataa kutoa ushahidi ni kosa kisheria. Shahidi atatakiwa atafutwe popote alipo ndani ya Jamhuri ya Muungano. Nakama yupo nchi za nje na kwasababu moja au nyingine hawezi kufika basi atatakiwa kutoa ushaidi kwa njia ya kiapo( Affidavit)
All in all, mahakama yaweza kuangali uzito wa ushahidi ambao shahidi ameshindwa kuutoa, km mahakama utaona ushahidi ni mzito katika kutenda haki basi kwa namna nyingine lazima mtu huyu atafutwe. Contrary, mahakama yaweza kuendelea na shauri na hatimaye kufikiabmaamuzi
 
Back
Top Bottom