olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,569
wakuu habari zenyu..
Wakati fulani nikiwa ndio nakua kwenye miaka ya 90s hivi kulikua na kesi moja nilikua naisikia kwenye vyombo vya habari ilikua inamhusu mzungu mmoja ( kama sijakosea muitaliano) aliyekua
amempa mbwa wake jina la IMMIGRATION (Uhamiaji),
Nakumbuka mwisho wa kesi yule mbwa mahakama iliamriwa AUAWE, sikumbuki yule mzungu alipewa adhabu gani
Je ile kesi mlalamikaji alikua ni nani
Je hukumu yake ilikua sawa au uonevu?? maana huku kuna maelfu ya mbwa wanaitwa " POLISI"
mbona hawashtakiwi
(maana ishu ilikua kuidhalilisha taasisi ya serikali ya Uhamiaji)