Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naomba tu ufafanuzi kwenu wadau, Nchi yetu leo ina miaka 50 ya uhuru lakini bajeti yake inategemea misaada na haiwezi kujiendesha bila misaada toka nje. Angola wamepigana vita miaka ishiri leo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SENSA YA WATU NA MAKAZI YAMWACHISHA KAZI SHEKH WA WILAYA YA MBARALI MKOANI MBEYA SHEKH Yassin Bambala wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya amevuliwa wadhifa huo kwa kosa la kuhamasisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Jaji kiongozi wa mahakama ya Tanzania Fakh Jundu amejibu tuhuma zilizotolewa na msemaji wa wizara ya Sheria na katiba tundu Lissu, kuwa si kweli. Ninamnukuu, Akizungumza baada ya...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Katibu wa Chadema kata amekamatwa kwa kutapeli mamilioni ya fedha kwa kutumia jina la waziri wa utalii Mh Kagasheki habari kamili gazeti la habari leo leo hii ni aibu kubwa chama kuwa na viongozi...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
CCM na Serikali yake walituaminisha kuwa Hussein Bashe,aliyekuwa anagombea Ubunge kule Tabora,si mtanzania na wala hajawahi kuwa raia wa Tanzania. Kutokana na hilo,Bashe akaondolewa kwenye...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani wadau kuna huyu mwanamke aliuawa kinyama kwa kuchomwa moto mwanzoni mwa mwezi huu,mbona hatujasikia polisi kumshikilia mtu hata mmoja?,au wanataka tuamini kuwa alijichoma moto?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau salaam!mim nimeingia matatizoni na mwenye nyumba yangu juu ya suala la upangaji,mkataba wangu uliisha mwishoni mwa mwezi july 2012,na mkataba wa awali ulikua wa miezi sita,baada ya kuongea...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni kauli ya kushangaza iliyotolewa na Kamanda wa morogoro kuwa madaktari wamegundua kuwa marhemu aliuwawa na kitu kinachoruka.Hicho kitu kilikuwa na mabawa?walijuaje kuwa kilikuwa kinaruka na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
ushauri wangu wale wote waliowekwa ndani kwa sababu ya sensa naomba waachiwe huru kwani hata wangekuwepo mtaani wasingehesabiwa kwani vifaa vimeisha. wale wote waliohusika kukwamisha zoezi la...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
mama mzazi wa Kadogo kalanga ambaye anasadikiwa amepigwa na maaskari akiwa anaonyesha waandishi wa habari sehemu ambazo mtoto wake ameumia manesi wa hopitali ya seliani wakiwa wanamtoa kijana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkazi mmoja wa mkoa uliopo katika kanda ya ziwa amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kukataa kuhesabiwa katika zoezi la sensa linaloendelea nchini Tanzania.Mkazi huyo alikataa kujibu maswali...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeikuta hii nikaona niwashushie wadau hapa. Inaonyesha Ma-DC wa JK wana ka-ugonjwa kichwani maana alianza yule wa Korogwe kumtusi mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya. DC amtishia mwandishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Naomba kuuliza sheria inasemaje kuhusu watoto wanaonyanyaswa na mama zao wa kambo? Yaani asubuhi nimeamshwa na kelele za mtoto aliyekimbilia kwa jirani kujificha asipigwe na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa namna ya kutatua kadhia hii ya benki yetu ya NBC. Jana asubuhi nimechukua fedha wakati naenda kazini. Nikaomba na mini statement. Nikaweka kadi (Master Card) kwenye wallet...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
IKULU imesema watendaji wakuu wa taasisi za Serikali wanaochunguzwa kwa tuhuma za kuhusika na kashfa mbalimbali, hawataishia katika hatua hiyo tu na badala yake, watafikishwa pia mahakamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada nna msichana anatishia kujiua mara kwa mara kila tukitaka kuachana alishatishia mara ya kwanza ikabidi tuludiane coz naogopa. sasa shreia itanilindaje endapo atajiua na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HabariLeo, SHINYANGA – Mkazi wa Ndembezi mjini Shinyanga amepigwa na mumewe hadi kuzirai na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu baada ya kutoa ushirikiano kwa karani wa Sensa ya Watu na Makazi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalam wa sheria, Salaam kwenu na poleni na majukumu ya kila siku. Kuna Dada yangu mmoja mume wake alifariki akiwa njiani kutoka kazini kuerejea nyumbani. Ilikuwa ni mida ya jioni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
"Mimi ni Binti wa Chuo kikuu, Nimeathirika na ugonjwa wa Ukimwi na mpaka sasa nimesha wa ambukiza vijana 322" Early this week, a friend received a shocking text message from a student at a...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Katika jambo ambalolimekuwa likiumiza vichwa vya watu wengi nchini ni kuwa inakuwaje mtu anapoibiwa kifaa cha gari yake anaambiwa aende mtaa wa Gerezani Ilala atavikuta vitu vyake. Na anapokwenda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom