Afungwa Jela miezi 3 kwa kukataa kuhesabiwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afungwa Jela miezi 3 kwa kukataa kuhesabiwa.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mpigaji, Aug 29, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkazi mmoja wa mkoa uliopo katika kanda ya ziwa amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kukataa kuhesabiwa katika zoezi la sensa linaloendelea nchini Tanzania.Mkazi huyo alikataa kujibu maswali ya dodoso la sensa ya watu na makazi kwa kuwa hakuna kipengele kinachouliza Dini!Mbele ya Hakimu wa mahakama,mkazi huyo alikiri kosa hilo,hakimu alimhukumu kifungo cha miezi 3!
  SOURCE:Matukio Radio Free Africa-(29/08/12)
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hongera zake kwa kuonyesha msimamo hata mwisho. Hata kwenye Bible kina Shedrack walitupwa kwenye tanuru la moto kwa kukataa kuabudu Miungu feki, na Bwana wao aliwaokoa.
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe mbona hukufungwa kama yeye??
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Waliomshamishi wanasemaje? Msimamo wa kijinga. Shedrack alikataa miungu feki, huyo aliyefungwa naye kakataa kitu gani feki? Mbona kakiri kosa?
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...then akishatoka jela Mahakama itaamuru ahesabiwe au ndo imetoka\/
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  loh! Kisa cha kunyea debe?
   
 7. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kapelekwa lokapu lini, uchunguzi umefanyika lini, kesi imesikilizwa lini. Utetezi umefanyika lini. Mweee! Amakweli akili ni nywele. Nchi Hii kwa viumbe kama nyinyi kamwe haiwezi kuendelea. No wonder this country is poor but rich.

   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  huu ni uonevu mtaani kwangu kuna watu wengi tu wamekataa kuhesabiwa wao na familia zao lakini hawajachukuliwa hatua..
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Dini!!
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Kama Wameshawishiwa Karani anachokifanya ni kumpa taarifa Mwenyekiti wa Mtaa halafu baada ya Sensa Watakiona cha Moto
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,446
  Trophy Points: 280
  Ccm wanapima upepo kwanza
   
 12. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Yeye anafikiri akifungwa ndiyo atapata pepo!
   
 13. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ivi hcho kipengele cha dni ndo kinakamilisha sensa? je uislam unapimwa na icho kipengele?
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mie nilihesabiwa hadi nywele baba. Sasa nifungwe kwa lipi?

  Hayo atajiuliza huko alipo. Kwani kina shedrack walishawishiwa na nani? Si walijishawishi wenyewe?
   
 15. s

  shambo Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kisa cha hayo yote nini?
   
 16. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  vipi mkuu,kama ukisema kifungu gani cha sheria alichotumia jaj kutoa hukumu hiyo ili nikijue nkatoe elimu kwa maboya fulani hivi wanaobishi et hakunaga sheria ka hiyo!MSAADA PLEASE!
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sijajua kipengele cha Dini kwenye sensa kikiwekwa tukajua Waislamu wako kadhaa, Wakristo kadhaa, Wahindu kadhaa, nk ndio kinafuata nini? Ndio maendeleo (barabara, zahanati, hospitali, shule, nk) yatapangwa kulingana na dini hizo? Kama sivyo ya nini kugomea vitu vinavyoleta maendeleo?
   
Loading...