Kuna mtu anatishia kujiua nisaidieni kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu anatishia kujiua nisaidieni kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by chrisnyoni, Aug 29, 2012.

 1. c

  chrisnyoni Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naombeni msaada nna msichana anatishia kujiua mara kwa mara kila tukitaka kuachana alishatishia mara ya kwanza ikabidi tuludiane coz naogopa. sasa shreia itanilindaje endapo atajiua na ataacha ujumbe kuwa amejiua kwasababi ya mimi. au nifanyaje jamani nisiingie hatianii. pliz najuta
   
 2. T

  Tukopampja Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe ndogu hauna hata point!!Kwanza utueleze sababu ya kumpenda mara ya kwanza, na mliahidiana nini hadi kuwa wapenzi.. na baadaye utuelezee kwanini unataka kumuacha?Na umekaa naye muda gani...Siyo kupost tu na kututega kwa kuomba ushauri bila taarifa nyingine..Unadhani yeye hapendi KUHESHIMIKA?Kwanini umpotezee muda halafu sasa ndiyo umuacha...!The Lady loves, ndiyo maana...The cost of the Love she loves you,equals to her life...HER LOVE TO YOU=HER LOSING LIFE.
  Tafakari na chukua hatua.Nawakilisha.
   
Loading...