Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wana jamii nimepata mengi sana kwenye JAMII FORUMS na nina imani hata hili wapishi au Chef wa Jamii forums atanipatia NATAKA NIWE NATENGENEZA BIRTHDAY CAKES KWA FAMILIA YANGU MWENYEWE ASANTE
0 Reactions
12 Replies
167K Views
Naomba mniambie vitu vya kuweka kwenye kutengeneza viungo vya chai please!unachanganya nini na nini?
0 Reactions
10 Replies
16K Views
Kwanza, weka wings ya kuku, tangawizi na vitunguu maji majini kwa dakika 15, halafu nawa wings kwa maji mapya Pili, weka wings katika maji ya kuchemshwa mpaka rangi ya wings igeuze Tatu, weka...
4 Reactions
25 Replies
7K Views
Mahitaji: Kitunguu maji 1; Vitunguu saumu 2; Mafuta ya kula kikombe 4(1); Nyama ya kusaga 1 2(1); Vijiko 2 chumvi; 2(1)kijiko cha pilipili manga iliyosagwa vizuri; Kijiko moja cha unga wa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
habarini humu ndani naomba msaada jinsi ya kutengeneza fondant sababu nimeangalia youtube naona wanaweka icing suger na marshmallow sina hakika kama hii marshmallow inapatikana hapa kwetu
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Copy to gorgeousmimi farkhina
5 Reactions
13 Replies
5K Views
Sio mwili au chumba na vinavyo stahili mpangilio,hata salad nayo inahitaji mpangilio Ili itie hamu ya kula na kuongeza virutubisho mwilini
8 Reactions
9 Replies
4K Views
Unapokaribishwa chakula cha heshima cha wenyeji wako ni budi na wewe ule maana usiwaudhi wenyeji, je ungepewa wewe hiki chakula hapa ungefanyaje?:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAHITAJI, mchele 1/2kg sweetcorn mtindi chumvi na mafuta. Upishi, chemsha maji ya kupikia wali. .. kisha injika sufuria na utie mafuta yakipata moto weka mchele na ukaange mchele ukianza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Plz smebody anieleweshe kuhusu aina ya Chakula hich kinaitwa Dessert
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Mahitaji 1.Makongoro (miguu ya ng'ombe) kiasi 2.Limao 1 kubwa 3.Kitunguu swaum 4.Tangawizi 5.Chumvi 6.Pilipili Matayarisho Safisha makongoro kisha yatie kwenye pressure cooker. Kisha tia...
3 Reactions
9 Replies
17K Views
Leo tunapika wali wa nazi, viazi vya kukaanga, mchemsho wa mboga za majani na samaki za kukaanga. Mahitaji: Mchele Tui la nazi Chumvi Viazi Kitunguu maji Zucchin karoti French beans Samaki...
1 Reactions
5 Replies
16K Views
Wana JF, napenda leo tuzungumzie aina za Mayai na upishi wake. Nimeamua kuzungumzia mayai kutokana na wengi wetu kutojua aina hizi za mayai na kujikuta pindi tukitoka na kwenda mojawapo ya baadhi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
1.Samaki wa kipande 1/2 kg 2.Mchele 1/2 kg 3.Vitunguu maji 2 4.Carrot 1 kubwa ikwaruze 5.Mdalasini 1 teaspoon 6.Bizari ya pilau 1/2 tablespoon 7.Nyanya ya kopo Kitunguu saumu na...
14 Reactions
93 Replies
24K Views
Habarini marafiki Ifuaatayo ndo menyu ya kuandaa Juice ya Karoti na Machungwa Mahitaji: - Machungwa 20 au zaidi kutegemeana na jinsi upendavyo. - Karoti 10 -17 hivi inategemeana anavyopenda -...
6 Reactions
25 Replies
29K Views
Wakuu, Kwa hapa Dar es Salaam ni hoteli ipi au mgahawa upi naweza kupata vyakula vya kienyeji vya asili ya mikoa ya kanda ya kati, magharibi na ziwa?. Jasiri haachi asili.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi wetu tumezoea nyanya chungu za nazi,biringanya pia likipikwa na nazi huwa na ladha nzuri pia. Mahitaji: Biringanya kata dogo dogo wek katika maji ya baridi (hii husaidia biringani...
4 Reactions
23 Replies
12K Views
Waungwana mimi Nina kipaji cha utungaji wa vitabu vya mapishi.Nimakabiliwa na changamoto ya kifedha na hatua muhimu zakufanya kitabu kiingie sokoni na kuuzwa.Kama Una msaada wa mawazo au kifedha...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahitaji: Mkate Carrot 1 Mayonize Jinsi ya kuandaa: . Chukua carrot ikwangue kwenye greater . Weka mayonnaise kwenye carrot uliyokwangua kisha ichanganye vizuri . Paka mchanganyiko wa carrot...
14 Reactions
93 Replies
12K Views
Mahitaji Nyama ya ng'ombe ya mafupa bila ya kukatwa (pande kubwa unalotaka) Viazi 4 vya mviringo vilivyomenywa na kukatwa Vijiko 2 vya chakula vya thomu na tangawizi iliyosagwa Kijiko 1 cha...
3 Reactions
12 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…