Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu.
Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua...
habari za majukumu wana jf
Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na...
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???
karibuni...
Hivi karibuni, mji wa Chengdu, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Sichuan uliidhinishwa kujiunga na mfumo wa miji yenye wazo la uvumbuzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni wa Umoja wa Mataifa, na...
Habari ya mchana wakuu nmekua na wazo la kutengeneza pilipili yenyewe ladha tofauti na chili source ambayo ndo kidogo imezoeleka kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya naona kidogo chillsource...
Habarini wana-JF.
Nazani Leo ndo first day fact ya SWAUM RAMADHANI KWA WAISLAMU DUNIANI KOTE.
UNAZANI NI CHAKULA GANI UNACHOPENDELEAGA KUFUTURU JIONI?
TUMWOMBE MOLA TUWE WENYE KUMALIZA SWAUMU...
Sabakher Wadau;
Baada ya kuona Maujuz Mbali Mbali Ya Mapish Humu Na Mim Nimeona Mapish Matamu Ya Panya Almaarufu Kama Mbuku.
Panya Anaweza Kutumiwa Kama Kitoweo! Au Roast.
MAHITAJI;
Panya Saiz Ya...
Pilipili hoho ni kiungo muhimu sana cha mboga na salad na wengine hula zikiwa mbichi.
Lakini je wajua kuwa ziko za kike na za kiume na je wajua utumie vipi aina hizi mbili ili kupata matokeo ya...
Mahitaji
Unga wa ngano 250g
Butter 250g
Mayai 9
Baking powder kijiko cha chai 1
Kuku wa kusaga 2 cups
Chumvi kijiko cha chai 1
Sukari 1/3 cup
Kungu manga 1/2 kijiko cha chai (sio lazima)
Mdalasini...
Ngano nzima (shayiri) 3 Vikombe
Kuku ½ (3 LB takriban)
Thomu na tangawizi iliyosagwa 1 kijko cha supu
Pilipili manga ya unga ½ kijiko cha chai
Jiyrah (cumin/bizari ya pilau) ½ kijiko cha chai...
HATUA
√ Ichambue soya yako vizuri kuondoa uchafu na mbegu mbovu
√ Bandika maji jikoni mpaka yachemke
√ Weka soya yako ndani ya maji na iache kwa muda wa nusu saa na kuendelea kulingana na ukali wa...
jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao,
naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika
asanteni