Nimepiga kama tisa ivi leo asubuhi..
Aisaee 9 pcs !! ndo kwanza waingi mjini..?!! Furahi mkuu..Nimepiga kama tisa ivi leo asubuhi..
Tatizo mafutaJumapili Njema
Mimi pia napenda sana hiyo kitu, hata leo asubui ndio nimekula break fast yangu, kila siku lazima nile vitumbua.
Napenda vitumbua vya aina yote, live vitumbua na hivyo vya kukaanga kwa kua vyote ni vitamu sana.