Kwa mfano mimi nikibuni kofia za kuvaa wapishi wangu zisifanane na zile kutakuwa na tatizo ???Kikubwa ni kuzuia nywele na uchafu wa kwenye nywele usiingie kwenye chakula.pia kile kitambaa anachovaa kufunika mdomo ni kwa ajili ya kuzuia bactetia wanaotoka mdomoni akiongea wasiingie kwenye chakula...mpishi haruhusiwi kuongeaongea akiwa anapika
Lakin ziwe nyeupe peeKwa mfano mimi nikibuni kofia za kuvaa wapishi wangu zisifanane na zile kutakuwa na tatizo ???
pia ni icon inayoashiria kuwa yule alovaa vile ni mpishi(chef) kama vile askari anavovaa yale magwanda kukufanya ujue kuwa ni askari..Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???
karibuni tupate jibu.
ndio mkuu,Kwahiyo hii ni sheria ??
Afisa afyaMsimamizi ni nani wa hiyo sheria ??
Rangi nyeupe ni symbol ya usafi piaWakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???
karibuni tupate jibu.
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ???
karibuni tupate jibu.