Ni chakula kipi unachopendelea wakati wa kufuturu swaumu ramadhani?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Habarini wana-JF.

Nazani Leo ndo first day fact ya SWAUM RAMADHANI KWA WAISLAMU DUNIANI KOTE.

UNAZANI NI CHAKULA GANI UNACHOPENDELEAGA KUFUTURU JIONI?

TUMWOMBE MOLA TUWE WENYE KUMALIZA SWAUMU RAMADHANI.
AMINI.

NAWAKARIBISHA NYOTE.
 
Kitu cha bagia, kacholi, na magimbi ya nazi, uji wa ukwaju miye hoi hapo nikipata na kipande cha samaki basi umenimaliza.
 
Back
Top Bottom