Je wajua kuna pilipili hoho za kike na za kiume?

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Pilipili hoho ni kiungo muhimu sana cha mboga na salad na wengine hula zikiwa mbichi.

Lakini je wajua kuwa ziko za kike na za kiume na je wajua utumie vipi aina hizi mbili ili kupata matokeo ya kuridhisha?

pilipilihoho.jpg

Kama picha inavyoonesha, waweza kuzitofautisha kwa kuangalia upande wa chini kwenye 'vinundu'. Pilipili hoho za kike zina vinundu vinne na za kiume zina vinundu vitatu.

Matumizi:
Hoho za kike zina mbegu nyingi zaidi na zinafaa zaidi kwa kula mbichi au kumix na vitu vingine kwenye salad.

Hoho za kiume zina mbegu chache ndani na hufaa zaidi kwa matumizi ya kupika.
 
View attachment 337586

Ngoja Ijumaa ifike haraka niende msata nikachunguze
 
Back
Top Bottom