Habari za wakati huu wana jamvi
lengo la kuweka uzi ni kufundishana hatua kwa hatua namna ya kutengeneza ice cream za ubuyu kwa yoyote yule anayefahamu tafadhali tupeame uzoefu. Mahitaji muhimu...
Habari wadau,
Aisee wakuu, kuna watu wanapenda kula kula yani utakuta ratiba yake ya siku ameshakula makorokoro kibao.
Utakuta asubuhi saa 1 kanywa chai na kiporo , alafu ikifika saa 4 anakunywa...
Naomba tuchangie hii mada
kuna umuhimu wa kuchanganya nafaka zote sita au hata tano kati ya hizi ? mf ulezi mahindi uwele mtama ngano kwa wakati mmoja wakati wa kuandaa lishe ya mtoto...
WALI WA BIRIANI
Mchele kilo 1
Nyama kilo 1
Samli ½ kilo
Mbatata ½ kilo
Vitunguu maji kilo 1
Thomu gram 150
Tangawizi mbichi gram 150
Hiliki gram 50
Mdalasini gram 100
Mtindi painti 1...
Chakula unachokula ni kitu muhimu sana. kinaweza athiri siku yako nzima kwa upande hasi au chanya.
ukipata breakfast nzuri nzito yenye mchanganyiko wa virutubisho. unachobakiwa kufanya muda wote...
Napenda sana kula vyakula jamii ya ngano kama;
1. Chapati
2. Maandazi
3. Half cakes
4.Tambi
5.Napenda mboga kama maharage, samaki sato, mchuzi mzito wa kuku
6.Napenda nyama ya kuku...
Kwanza tuelewane hapa ni mapishi two in one wali ulioonyoka(basmati rice namanisha basmati siyo ile ya shinyanga ukiichemsha inashikamana kama ugali ) na ule mchuzi wake mzito
MAHITAJI YA MCHUZI...
Tafadhali wana jamvi,mwenye kujua namna ya kupoka chakula cha utumbo chukuchukuku na chapati za maji anisaidie,Nimetumia neno chukuchuku nikiwa na maana (isiwe na mafuta wala maviungo viungo mengi)
Ndugu zangu mimi ni mpishi ninaependa kupika na pia kula vyakula vilivyoandaliwa kwa afya nimesoma na kuona kuwa matumizi ya viungo kama hamira baking powder na bicarbonate soda na vanilla na...
Naomba maelezo ya kutengeneza zile chapati za kufungia sambusa,
Ni kwamba hiyo kitu nilikuwa nikijua siku nyingi zilizopita nikiwa bado kijana enzi hizo nipo hapo Pwani ya Tanzania, kwa sasa...
Makaroni nichakula jamii ya Tambi,ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kupika siku za jumapili ninapokwepa kukaa jikoni kwa muda mrefu.
makaroni ya nyanya na nazi
Mahitaji
Makaroni mfuko 1...
Watu wa Dar karibuni.
Ukipata Hii Kitu roho inafurahia sana.
Likizo Yangu Yote naitumia kula chakula cha asilia Nikirudi Huko Nido nianze kukimbizana na supu ya pweza, mahidni ya kuchoma yenye...
Za kazi wakuu.
Napenda sana vyakula vitamu ila sijui kupika.
Leo nataka nianza na chapatti flani amazing, Hizi chapatti zinakua ni laini, nene, zina rangi nzuri ya brown kutokana na zimepikwa...
Wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua vipimo Kwa ajili ya cake ya biashara nikimaanisha cake za kuuza madukani, super markets na kathalika.
Na nini niweke ili iweze kaa MDA mrefu bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.