Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Half cake nimepik unga ulikuw mgumu tu ila zilivyoanza tu kuvimba jikoni zimepasukana ovyo ovyo hamn ilotoka nzima naomba msada tafadhali anaejua kupika half cake nimekosea wap au baking powder...
2 Reactions
66 Replies
10K Views
..,.........habarini wadau,,,,,,, Naimana kuna mahali ushawahi kupita ukasikia wali unanukia vizuri sana(achana na harufu ya wali wa msituni [emoji23] ) [emoji626] hakikisha pale unapopika wali...
20 Reactions
103 Replies
39K Views
Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha habari hili ndo chimbo linalosumbua mjini kwa wastaarabu. Wafanyakazi wa hapa wanavaa kwa heshima na ni wachangamfu. Pametulia hakuna makelele sana. Kuna nyama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Maharage meusi ni chakula maarufu huko Latin America. Niliyaona dukani na kuyanunua. Baada ya kuyachemsha nilikuta mafuta yametanda juu. Yana virutubisho vingi ikiwa ni calories, iron...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Hasa kwa wale wenye excess body fatty, unataka kuiacha ipungue kwa metabolic process naturally. Kula cabbage au cauliflower kama main meal. Unaweza kuweka nyama au samaki juu yake kama mboga ya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nimejikuta nimebaki mwenyewe home baada ya shule kufungwa na nina nyanya nyingi kwa fridge. Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ambayo itakaa kwa muda mrefu kwa fridge bila...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Helow Wakuu Nina binti yangu anapendelea haya mambo ya mapishi nimempeleka akajifunze ufundi nguo amemaliza yupo vyema ila bado akili zake zinahitaji kujifunza upishi Mwenye kutambua chuo...
1 Reactions
4 Replies
12K Views
Wanajukwaa naomba kujuzwa jinsi yakuandaa pishi hili nalipenda sana Cc farkina
0 Reactions
13 Replies
19K Views
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Habari wandugu, aisee nahitaji kujua kama hili swala nimeliona peke yangu tu au? maana nimegundua chakula ni kikipasha kwa kutumia microwave ladha inabadilika kabisa, yaani kinakuwa kama kinakosa...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Hii kitu inanifikirisha sana. Katika maisha yangu nimeishi katika mapito ya kuhustle sana kwa mbinde mpaka nimetoka kimaisha. Mara nyingi nimeishi maisha ya kujitegemea tangu utotoni. Sasa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula. - inatumikaje? - ina faida gani? - inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
0 Reactions
46 Replies
35K Views
Ninapenda kula bamia kwa style hii, huweza kuliwa na wali, ugali au mihogo ya kuchemsha. Kwa kubadili ladha huwa ninaweka nyama ndani au minofu ya samaki hasa vibua. Ninaakaanga vitungu na...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu leo nimebahatika kula msosi wa maana sanaaa. Mayai mchemsho+ maharage yaliyoungwa. Mara baada ya msosi huo nikashushia maziwa fresh kikombe cha nusu Lita hivi. Kuna watu walionikuta...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mapishi ya cake kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari inaandaliwje bila ngano nyeupe na sukari? Nisaidieni mwenzenu napenda bites na cake sana lakini nashindwa kutengeneza maana nina sukari ya juu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwenzenu kila nikipika njegere haziivi je nakosea wapi au nazo zinatofautiana na nyingine huwa haziivi?
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Mimi ni Mkristo! Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula...
29 Reactions
315 Replies
45K Views
Habari wana JF naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza popcorn tam(sukari)..nko na mashine ya kutengenezea ila naishia tu kupika za chumvi sa napenda kuwabadilishia wateja wang flavour il...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Back
Top Bottom