Utengenezaji wa ice cream za ubuyu

SniperBoi

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,103
1,128
Habari za wakati huu wana jamvi

lengo la kuweka uzi ni kufundishana hatua kwa hatua namna ya kutengeneza ice cream za ubuyu kwa yoyote yule anayefahamu tafadhali tupeame uzoefu. Mahitaji muhimu au viungo vinavyotumika kutengenezea ice cream ili ziwe laini zikiganda na kuwa na test nzuri kwa mlaji, ni zile za mia mia.
 
ALAFU KWA NINI NYINGINE ZINAKUWA KAMA ZIMEKATIKA KATIKA ,ZINAJIGAWA MAJI NA UBUYU?HUWA WAMEKOSA NINI NAOMBA KUJUA!TUTUMIE FOMULA IPI VI BALANCE,SHUKRANI
 
Back
Top Bottom