Ndugu, nimewaza mpaka kichwa kinauma sijui nipike Chakula gani mchana Nile.
Naombeni msaada, shauri chochote bila kujali kitapatikanaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa.
Kisha nikayaweka kwenye friji yakapata baridii kiasi yale maziwa.
Alafu nikizima friji langu na maziwa yapo mule...
Wakuu habari za jumapili.
Naomba kuuliza.
Juzi ijumaa nilikua mjini kati Dar es salaam, nikakutana na jamaa yangu mmoja mwenye asili ya kiarabu niliesoma nae elimu ya sekondari ya juu ambae...
Mapishi ni ufundi unaokua kila kukicha ila wengi wetu tunachemsha hasa kwenye swala la kufanya msosi uwe na ladha murua na kapendeza...
Ningependa hasa nijue hivi viungo vinatumika kwenye vyakula...
Napenda sana kumtazama huyu jamaa siku hizi Chef Fred Uisso.
Jamaa anapika vyakula mbalimbali vya makabila Tanzania,kupitia yeye najifunza kuacha mapishi ya kuiga iga na ya mazoea.
Jamaa...
Wakuu heri ya mwaka mpya naombeni msaada mwenye utaalamu wa kuhifadhi njegere muda mrefu kama mwezi au wiki mbili bila kutumia fridge anipe maujanja maana fridge uchumi haurusu kwa sasa nimechoka...
This could be helpful, know more about your computer.
Ctrl+A - Select All
Ctrl+B - Bold
Ctrl+C - Copy
Ctrl+D - Fill Down
Ctrl+F - Find
Ctrl+G - Goto
Ctrl+H - Replace
Ctrl+I - Italic
Ctrl+K -...
Wadau wapishi habari zenu
Nilikuwa nauliza hivi frying pan za chapati zile zenye mishikio ya plastiki ngumu za dukani zipi imara hazishiki kutu halafu hivi haya makangio ya chapati...
Mti mbenge ni mti ambao unamahusiano zaidi na maji na unapoota au kupandwa eneo hlo lazima patokee chemchemu ndogo ambayo watu wataweza kuchimba kisima na kujipatia maji. Labda naomba kama kuna...
Karibu katika jiko na mapishi, na leo tutajifunza kupika pilau la nyama ya ng`ombe.
VIPIMO,
Mchele 2kg
Nyama ya ng`ombe 1k
Pilpilihoho 1kubwa
Nyanya 3kubwa
Vitungu maji 2vikubwa
Thomu...
Haya jamani leo ni siku nyingine ambayo ninataka tupike mkate kwaajili ya familia.
Mkate ni chakula ambacho huliwa wakati wa kufungua kinywa.hupikwa kwa kutumia unga wa ngano ama wa muhogo lakin...
Habari za wakati huu wana jamvi
lengo la kuweka uzi ni kufundishana hatua kwa hatua namna ya kutengeneza ice cream za ubuyu kwa yoyote yule anayefahamu tafadhali tupeame uzoefu. Mahitaji muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.