Je, kuna njia ya kupika mkate au keki bila kiweka hamira na baking powder?

cyrustheruler

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
2,049
2,000
Ndugu zangu mimi ni mpishi ninaependa kupika na pia kula vyakula vilivyoandaliwa kwa afya nimesoma na kuona kuwa matumizi ya viungo kama hamira baking powder na bicarbonate soda na vanilla na vinginevyo sio mazuri kwa afya sasa nimekuwa najiuliza kuwa

Je, ipo njia gani ili upike na upate mkate mzuri au keki au doughnut nzuri bila hayo madubwasha.

Nimejaribu kupika lakini sijapata matokeo mazuri naomba uzoefu wenu.
1525005496833.jpg
 
cyrustheruler

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
2,049
2,000
Ndugu zangu mimi ni mpishi ninaependa kupika na pia kula vyakula vilivyoandaliwa kwa afya nimesoma na kuona kuwa matumizi ya viungo kama hamira baking powder na bicarbonate soda na vanilla na vinginevyo sio mazuri kwa afya sasa nimekuwa najiuliza kuwa je ipo njia gani ili upike na upate mkate mzuri au keki au doughnut nzuri bila hayo madubwasha. Nimejaribu kupika lakini sijapata matokeo mazuri naomba uzoefu wenu. View attachment 760387
Hilo sotojo limegoma
 
AmorEy

JF-Expert Member
Jul 10, 2018
1,358
2,000
Ndugu zangu mimi ni mpishi ninaependa kupika na pia kula vyakula vilivyoandaliwa kwa afya nimesoma na kuona kuwa matumizi ya viungo kama hamira baking powder na bicarbonate soda na vanilla na vinginevyo sio mazuri kwa afya sasa nimekuwa najiuliza kuwa

Je, ipo njia gani ili upike na upate mkate mzuri au keki au doughnut nzuri bila hayo madubwasha.

Nimejaribu kupika lakini sijapata matokeo mazuri naomba uzoefu wenu. View attachment 760387
Mkuu hamira watu huweka lbda kwa kutaka uumuke haswa ikiwa ni mkate wa biashara.
Ila baking powder ni muhimu katika mkate wa mayai.
 
Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,745
2,000
Keki na mkate muhim sana hamira (kwa mkate) baking powder (kwa keki) husaidia kuivimbisha keki, na kuifanya iive ndani vizur kwa uelewa wangu

Hiko umetoa ts like biscuits, nilifikiri vileja mana hata vileja bakin powder unaweka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom