Naomba kujuzwa kuhusu uchomaji wa kuku

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
271
Wakuu habari natumaini wazima

Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu.

1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje?

2.Kuna utofauti wowote wa kuchoma kuku hawa wa broiler na kienyeji?

3. Maandalizi kutoka kumchinja kuku hadi kumchoma ana matokeo yoyote hasi au chanya katika utamu wa nyama ya kuku?

4. Viungo gani hasa huwa vinatumika kumchoma kuku awe mtamu?

Ahsanteni sana natanguliza shukrani.
 
Naona viungo ni vile vile kama wa kukaanga tu japo sijawah choma kuku mueke kitunguu swaum kimenye kitwange tangawizi isagie chumvi kiasi limao au ndimu.

Mengine watajibu wengine
 
Naona viungo ni vile vile kama wa kukaanga tu japo sijawah choma kuku mueke kitunguu swaum kimenye kitwange tangawizi isagie chumvi kiasi limao au ndimu.

Mengine watajibu wengine
Naongezea aweke na mtindi kidogo aweke kwa friji mda mrefu sana aive na viungo.
Japo mimi kuku napenda awe na ndimu au limao na vitunguu swaum chumvi basi.
Nienjoy ile taste asilia.
 
Naongezea aweke na mtindi kidogo aweke kwa friji mda mrefu sana aive na viungo.
Japo mimi kuku napenda awe na ndimu au limao na vitunguu swaum chumvi basi.
Nienjoy ile taste asilia.
Bas me hua naongezea na pilipili manga ya unga na napenra zaidi kuku wa kukaanga kuliko wa kuchoma hio ya mtindi ndio najifunza leo sasa ukitaka mpika ladha ya mtindi husikii??? sipendi maziwa ya mtindi ingenishinda hio
 
bas me hua naongezea na pilipili manga ya unga na napenra zaidi kuku wa kukaanga kuliko wa kuchoma hio ya mtindi ndio najifunza leo sasa ukitaka mpika ladha ya mtindi husikii??? sipendi maziwa ya mtindi ingenishinda hio
Haisikiki mami.
Yes nilisahau pilipili manga.
Huwa napenda kuku asiwe na makorogesheni kibao.
Lakini mimi awe wa kuchoma kukaanga twende tu.
Ili mradi kuku
 
Haisikiki mami.
Yes nilisahau pilipili manga.
Huwa napenda kuku asiwe na makorogesheni kibao.
Lakini mimi awe wa kuchoma kukaanga twende tu.
Ili mradi kuku
nitajaribu siku moja ila sjui kama nitamla kuna siku nilialikwa hafla flani nikawa upande wa jikoni nikasema leo ngoja nione ujuzi wa wengine jikoni kukapikwa biriani lile chuzilakewakaweka maziwa yamtindi ham iliniisha pale pale tena na sukari juu sikula hayo
 
Lakini biriani maziwa mtindi lazima kuleta taste na uzito.
Huwa harufu inaisha ikikaangwa.
Ni nzuri usipoona huwezi jua.
 
We kuku choma tu kawaida kama uchomavyo nyama nyingine ukitia mbwembwe sana utamuharibu kuku wetu.Nyama ya kuku ukiipika vyovyote ni tamu mradi usitie sana mikwara.
Ukitaka nyama ya kufanyia mbwembwe kakamate hata sungura huko umfanye unavyotaka.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Hilo nalo neno
 
Back
Top Bottom