Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu kwema? Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi. Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inahitaji kuhakikisha moto umekolea Halafu unahikishe mwiko ni mzima hauwezi kuvunjika Uhakikishe sufulia halijatoboka-Ni zima Uhakikisha sufulia limelowana maji-Lina maji ya kutoshea unga wako...
6 Reactions
56 Replies
677 Views
Wataalamu naombeni uzoefu wenu nataka nitoe kitu Cha kuchambuka kwenye gesi
5 Reactions
23 Replies
443 Views
nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni...
8 Reactions
24 Replies
524 Views
Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na...
16 Reactions
90 Replies
2K Views
Bwana wee, kuna video huwa naona mitandaoni watu wakipika vyakula mbalimbali au kupanga vyakula kwenye sahani kwa namna ambazo zinavutia kweli, zipo ambazo nilijaribu na kufanikiwa ila nyingine...
0 Reactions
3 Replies
228 Views
Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti. Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule - wali, samaki, maharage - Ugali, samaki, dagaa, vegetables...
15 Reactions
49 Replies
596 Views
Hi guys hope mko poa,. Kwa ambao mko na changamoto mbalimbali Mungu awafanyie wepesi mkae sawa,.. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,. Leo tutengeneze biscuits nzuri na tamu...
17 Reactions
24 Replies
398 Views
Hi guys,. Habari za siku nyingi Bila kupoteza mda tupike pamoja pilau nazi Kwenye sufuria yako ya kupikia utaweka mafuta, yakipata moto utaweka vitunguu na ( hoho ni optional) Utakaanga kwa muda...
17 Reactions
47 Replies
814 Views
Hi guys hope mko poa,. Tupike pamoja 1. Maharage yako ambayo yashachemshwa na chumvi utaweka maji kidogo na uweke jikoni yapate moto 2. Katakata kitunguu karoti na hoho uweke na uache vichemke...
20 Reactions
89 Replies
861 Views
Habari wakuu, Kuna jambo limekuwa likinipa mtatizo sana, wakati nakuwa nilikuwa nikipenda sana kusaidia jikoni kwenye mapishi hasa siku ya ubwabwa Maharage, huku nikimuangalia Bi mkubwa akiandaa...
1 Reactions
2 Replies
228 Views
Hi guys hope mko poa,. Tupike pamoja keki hii simpe na tamu sana 1. Utaweka blueband 200g na sukari 150g kwenye bakuli utatumia mixer kuchapa 2. Utachapa mpaka ibadilike rangi iwe inaelekea...
7 Reactions
9 Replies
268 Views
Kila mtu na anavyoonja ladha kinywani mwake, kuna sisi wengine samaki ni samaki tu bora atengenezwe vizuri hatuchagui maji bahari wala chumvi. Ila kuna watu wanasema mara samaki wa maji chumvi...
2 Reactions
29 Replies
477 Views
kula vizuri hata kama life ni ngumu.
16 Reactions
125 Replies
1K Views
Hi guys, habari za siku nyingi?? Bila kupoteza mda tupike ndizi nyama pamoja… Kwenye sufuria yako ya kupikia utaweka mafuta kidogo sana, yakipata moto utaweka kitunguu hoho na karoti Utakaanga...
9 Reactions
20 Replies
414 Views
Bila shaka karibu kila kabila hapa Tanzania hutumia ugali, ubwabwa na maharage kama chakula cha heshima, fahali. Pia ni chakula pendwa, ila vyakula vingine vilivyobaki mara nyingi ni vya...
4 Reactions
16 Replies
314 Views
Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
18 Reactions
277 Replies
3K Views
Mahitaji 1. Samaki 2. Ndizi 3.mchicha 4. Karoti 5.limao 6. Chumvi Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo...
12 Reactions
70 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…