Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi...
Nishasema kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Nguruwe ni haramu[emoji1787]
Narudia nguruwe ni haramu[emoji1787]
Hiyo menyu ni balaa full majaribu[emoji23]
Nireteeni mbusi...
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikijiaminisha kuwa napenda sana machungwa. Nimekuwa nikiwaambia watu napenda sana machungwa. Msimu wa machungwa ukifika huwa ni kawaida kwangu kununua machunga...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake.
Mtu mwingine anatamani kula kitu...
Hellow swahibaz!
Mwenzenu nina tatizo la kukadiria chumvi na maji katika mapishi ya ubwabwa. Mi binafsi huwa sipendi chumvi nyingi, hali ambayo imefanya niwe mkini mno katika uwekaji kiasi ya...
Habarini
Leo nataka kupika ugali mlisema unatiwa blubend na Nini? Naomba mnikumbushe.
Nawasilisha.
=====
Picha ya ugali kutoka maktaba
Soma maoni zaidi kuhusu kupika ugali: Jinsi ya kupika...
Nahitaj kupika pilau nyama ya kuku ya kukaanga na mchuzi, njegere, viazi
Naweza changanya pilau njegere na kuku viazi kwa pamoja.
Na mahitaj yake ni yapi
Habari zenu.
Kuna siku nilienda sokoni kununua bidhaa fulani nikakutana na ndugu yangu anauza viungo vya chakula. Kwakuwa tayari nilikuwa nimemaliza mahitaji niliamua kununua tu chochote kwakwe...
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza.
Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia.
naombeni maelekezo tafadhali
Habari za muda huu!
Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika.
Maana...
Kwema Wakuu!
Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani.
Kama unaishi maisha ya...
MAHITAJI
Unga wa ngano nusu kilo
Mayai 2
Sukari robo kikombe cha chai
Chumvi kijiko kimoja cha chai
Hiliki nusu kijiko cha chai
Maji ya uvuguvugu kiasi
Mafuta ya kupikia
MATAYARISHO NA...
Habari wana jukwaa.
Najitokeza kwenu kuomba mafunzo ya upishi wa kisamvu.
Nimekula kisamvu kwenye sherehe kitamu sana
Nifunzeni nipate kukipika mwenyewe nyumbani.
Asanteni
Recipe ya mama yangu...
Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?
Asanteni
Habari, leo nimewiwa kutaka kujua milo ya watu humu hasa mchana huu. Ni vizuri kwani tunashirikiana uzoefu na kujuzana habari mbali mbali kuhusu vyakula.
Binafsi ndiyo nipo sokoni muda huu...
Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu.
Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya...
Utengenezaji wa jamu si mgumu sana kama ambavyo wengi hudhani. Unaweza kutengeneza jamu kwa kutumia vifaa ulivyonavyo jikoni kwako.
Jamu ya machungwa ama ‘orange marmalade’ ni moja ya jamu zenye...