Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,750
- 6,247
Habari zenu.
Kuna siku nilienda sokoni kununua bidhaa fulani nikakutana na ndugu yangu anauza viungo vya chakula. Kwakuwa tayari nilikuwa nimemaliza mahitaji niliamua kununua tu chochote kwakwe ili kumuunga mkono kazi yake.
Akaniambia chukua tangawizi na mdalasini vyote vya unga na uwe unakunywa tu kama chai jioni ukitoka kazini. Akaniambia uwe unachanganya mdalasini kijiko kimoja cha chakula na tangawizi nusu yake na iwe kama vikombe viwili tu na weka sukari kama una asali basi ni nzuri sana.
Niliamua kufanya hivyo ili tu hizo bidhaa zisipotee bure. Aisee.. kumbe hii kitu inaboresha sana mambo ya nguvu za kiume. Kiukweli sasa nimebadilika sana. Nguvu zimeongezeka mara 3 ya hali niliyokuwa nayo na haiumizi hata kidogo. Na hapo nimeona mabadiliko baada ya wiki 2. Sasa hapa shemeji yenu mpaka anauliza umefanyeje wakati yeye kila siku ndio anaandaa.
Jaribu uone.