Mlo wako mchana huu ni upi?

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
May 4, 2022
1,181
1,570
Habari, leo nimewiwa kutaka kujua milo ya watu humu hasa mchana huu. Ni vizuri kwani tunashirikiana uzoefu na kujuzana habari mbali mbali kuhusu vyakula.

Binafsi ndiyo nipo sokoni muda huu, nanunua kichwa cha samaki(perege=700) na bamia za 500(tupo wawili tu) so vinatutosha.

Mlo wetu leo utakuwa ni ugali kwa samaki na bamia.
Karibuni sana.
 
Sasahivi ni mchana..upo tz au upo ulaya..bongo ndio tunajiandaa na maandalizi ya chakula cha usiku.

Anyway chakula pendwa ni ugali mboga unategema na mfuko wako..kuanzia utumbo wa kuku hadi nyama ya ngombe.

#MaendeleoHayanaChama
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom