Vipimo vya chumvi na maji katika wali

Ntakasi

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
1,427
452
Hellow swahibaz!
Mwenzenu nina tatizo la kukadiria chumvi na maji katika mapishi ya ubwabwa. Mi binafsi huwa sipendi chumvi nyingi, hali ambayo imefanya niwe mkini mno katika uwekaji kiasi ya kuwanyima ladha walaji wengine.

Naomba nijue katika wali, labda wa kilo moja niweke kijiko au vijiko vingapi/kikubwa au cha chai ili kupata ladha ya wastani. Halkadhalika vikombe vya lita ngapi (katika kilo moja) niweke ili kupata wali uliochambuka vizuri.Wali mkavu lakini ulioiva kiini.

Nitashukuru sana kusaidiwa hili.
 
Mie nakadiriaga tu

Sijawahi kuwa na kipimo

Na hivi silagi chumvi nuingi...mgeni atajiongezea mwenyewe mezani
 
Mpaka uzi unafungwa sijaona jibu kuhusiana na kipimo cha chumvi...
 
Back
Top Bottom