Nataka kupika ugali mlisema unatiwa 'blubend' na nini?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Habarini

Leo nataka kupika ugali mlisema unatiwa blubend na Nini? Naomba mnikumbushe.

Nawasilisha.

=====

1658225362441.png

Picha ya ugali kutoka maktaba​

Soma maoni zaidi kuhusu kupika ugali: Jinsi ya kupika UGALI Fasta Fasta (Full Steps)
 
Hongera sana mkuu.

1. Kwanza chukua magadi vijiko viwili, weka kwenye sufulia yenye maji nusu lita (kwa mtu mmoja), mix nyanya mbili na chumvi.

2. Acha vichemke dakika 10, muda huo wewe unachekecha unga robo. Maji yakichemka weka unga funikia.

3. Baada ya dakika 5 ndio uweke blueband vijiko vitatu vya chakula. Kisha funika.

4. Baada ya dakika 10 unaweza epua. Ugali wako umeiva.
 
Hongera sana mkuu.

1. Kwanza chukua magar vijiko viwili, weka kwenye sufulia yenye maji nusu lita (kwa mtu mmoja), mix nyanya mbili na chumvi.

2. Acha vichemke dakika 10, muda huo wewe unachekecha unga robo. Maji yakichemka weka unbga funikia.

3. Baada ya dakika 5 ndio uweke blueband vijiko vitatu vya chakula. Kisha funika.

4. Baada ya dakika 10 unaweza epua. Ugali wako umeiva.
Na asali mbichi kikombe1
 
Ukiutukana ugali,haki yanani nitakushitaki: Hahaha nyinyi ndio mnasema mtoni wanakula ng'ombe.:KUKATAA UGALI NI UJINGA,SI UBOSS ...SANA-SANA UKILA UTAKUWA UMEPUNGUZA MIKOSI.
 
Alisina anapenda Ugali, Maxence Melo anapenda Ugali, Seun Osewa anapenda Ugali, Sadio Mane anapenda ugali,Idris Elba anapenda Ugali,Jaymo Ule Msee anapenda Ugali,P-Funk anapenda ugali, JUma Nature anapenda Ugali...HUUU -HAAA PULIZA WA MOTO HUO.
 
Back
Top Bottom