Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Hii...safi sana...Mimi napenda sana juice...kama kuna mwenye kujua aina mbali mbali za ku'blend'' tafadhari tujuzane. Asante sana. juisi ya rozella jinsi ya kutengeneza 1. chemsha...
0 Reactions
14 Replies
49K Views
  • Poll Poll
The Spice of Life: Unveiling the Hidden Powers of Culinary Herbs and Spices For as long as humans have been cooking, herbs and spices have been our trusty companions in the kitchen. More than...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini? Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni vyema ukawa na kawaida ya kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali nyumbani kwako ili ikusaidie pale unapotaka kupika. Haipendezi kila unapotaka kupika basi unaenda dukani au gengeni kununua kitu...
6 Reactions
10 Replies
7K Views
Kuna baadhi ya watu wanapikia nazi kila chakula, yani chakula hawawezi kupika au kula bila kuweka nazi. Unaweza kukua katika mlo mmoja amepika wala wa nazi, nyama ina nazi, maharage ya nazi na...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari, natumaini nyote mko poa Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote. Moja kwa moja niingie jikoni MAANDALIZI. kitunguu thoumu Tangawizi pilipili manga ya unga binzari...
13 Reactions
230 Replies
10K Views
Habari Wana jamvi, Naomba tupeane mawazo juu ya vyakula mbalimbali vya kupika Kwa wiki nzima yaani visijirudie rudie,
2 Reactions
16 Replies
15K Views
Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Sehemu ya Kwanza: Kupika Keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji Kukusanya Vifaa: Kwa njia hii, tutahitaji bakuli kubwa, kijiko, bakuli la kuchanganyia, na vifaa vingine vya kienyeji kama vile bakuli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wazee wa masotojo, Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake. Basi akachukua maembe na...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Asante kwa kujiunga nasi leo! Leo, tutajifunza jinsi ya kupika keki kwa njia mbili tofauti: kwa kutumia mikono na zana za kienyeji, na kwa kutumia vifaa na mashine za kisasa. Kila njia ina sifa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Jamani kuna sehemu ukienda kula mpaka una enjyoy test ya chakula hususan nyama ukienda migahawa ya wazanzibar wanakuwa ni michuzi mitamu sana. Hivi wanatumia viungo gani vinavyofanya test iwe...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama wewe ni mlevi wa pombe kali au mvivu wa kula pata supu ya mkia hasa shinani maana una nyama nyingi na tamu bei pia si mbaya waweza kula kongolo au ulimi lakini havishibishi kama mkia...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa. At...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi sio vyakula bali ni vichocheo vya kula nyama zaidi. KICHURI Kichuri kinatengenezwa na kutokana chakula ambacho hakijameng'enywa ndani ya tumbo la mnyama kinachanganywa na ndimu au limao...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu. Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana. Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋
27 Reactions
124 Replies
8K Views
Mahitaji 1. utumbo 1kg 2. Mchicha fungu 2 3. kitunguu 1 4. karoti 1 5. pilipili hoho 1 6. currypowder 7. chumvi 8. Tangawizi 9. Limao 10. Nazi / karanga MAANDALIZI 1. Bandika utumbo wako jikoni...
7 Reactions
18 Replies
25K Views
Back
Top Bottom