MABUNDA ni aina ya chakula cha asili cha Afrika ambacho ni rahisi kukiandaa. Pia kinajulikana kama MKATE WA NDIZI Kwa lugha nyingine.Ni chakula kilicho katika mfumo wa mkate ila hiki upikwa na...
Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya.
Tumeuanza mwaka na msosi gani leo?
Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili...
Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai...
Wazee wa madikodiko kwema?
Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?
Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada...
Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila.
Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ...
Ndg zangu.
Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.
Sasa sijui wife anawaza nini ndoa...
Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo...
Wadau habari?
Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa.
Mwenye kuweza...
Mahitaji ya uji kwa watu 2-4
1. ngano ambayo haijakobolewa kikombe kimoja kikubwa cha chai(mug)
2. Maji vikombe viwili vikubwa vya chai
3. Maziwa ya chai kikombe kimoja kikubwa cha chai
4...
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto!
Ni moja kati ya majina yake maarufu.
[emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
Za asubuhi wakuu,
No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.
Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya...
Nani ajuaye atupe maarifa kwanini chakula cha Biriani kinapendwa kwa Ijumaa kuliko siku zingine zote? Kina mahusiano na ibada?
Kila mgahawa unaopika Biriani lazima usisitize neno Ijumaa.
Mkopoa!
Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako
Jinsi ya kupika
vunja mayai...
Tanzania ina wapishi wengi wazuri, lakini wachache tu wameweza kufikia kiwango cha juu cha ubora na umaarufu. Hapa kuna wapishi watatu bora nchini Tanzania:
David Mwamtoa
David Mwamtoa ni mpishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.