Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kuandaa juisi ya Rozella

Discussion in 'JF Chef' started by KWI KWI, Jul 18, 2011.

 1. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii...safi sana...Mimi napenda sana juice...kama kuna mwenye kujua aina mbali mbali za ku'blend'' tafadhari tujuzane.

  Asante sana.

   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,379
  Likes Received: 2,173
  Trophy Points: 280

  juisi ya rozella


  jinsi ya kutengeneza

  1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke
  2. yatoe kwenye moto weka chini
  3. weka majani mekundu kijanja (uhi) kimoja na nusu
  4. kaa dakika 20
  5. chuja
  6. weka kwenye glass
  7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali
  8. tayari kwa kunywa


  angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.

  fuata utaratibu huo huo hapo juu.
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2015
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,613
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Nini faida ya kutumia hiki kinywaji? Mamndenyi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2015
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 9,080
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Afadhali
   
 5. SUCRE MARIACH

  SUCRE MARIACH Senior Member

  #5
  Aug 29, 2015
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mamndenyi fanya uje maana nina hamu ya kujua faida ya hii juisi ya Rozella������������
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2015
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,698
  Likes Received: 3,585
  Trophy Points: 280
  Sina hamu na rozella

  Baada ya kuinywa nimeumwa kichwa siku 3!!!!!
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2015
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,613
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Duh... hiyo ilikuwa na sumu aisee sio bure
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2015
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,698
  Likes Received: 3,585
  Trophy Points: 280
  Labda
  Sina hamu nayo

  Hata kwa fimbo sasa hivi sinywi
   
 9. G

  GCM_RCM Member

  #9
  Sep 6, 2015
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nzuri sana hasa ukipata rosela ambayo ndio imechumwa sio mda sana. Ahsante kwa kutukumbusha ndugu
   
 10. specialist88

  specialist88 JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2015
  Joined: Aug 31, 2014
  Messages: 992
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Amen !
   
 11. GREENER

  GREENER JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2015
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 247
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 80
  Itakua ulikua na damu nyingi ndugu angu coz rozela me hua natumia nikiwa na damu chache pia mama wajawazto wengi pia hua wanashauriwa watumie kwajili ya kuongeza damu, so ww nahisi uikua nayo nyingi tayari , am just guessing lakini
   
 12. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2015
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 36,935
  Likes Received: 15,766
  Trophy Points: 280
  Ukiblend na yale majani yake ndo inakua na ladha nzuri zaidi
  nb: idilute vizuri rosella ikizidi inasababisha acid tumboni
   
Loading...