Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,782
- 2,373
Habari wakuu.
Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.
Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa zake. Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kuzitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot.
Wanasema kuwa haziunguzi chakula. Kuna ukweli ndani yake au lah?
Vipi kuhusu usalama kiafya ukizingatia material yake.
Asanteni