Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
wadau naomba kujuzwa kama kuna njia ya kuchoma nyama bila kuwasha mikaa wala kuni, make jiko ninalotumia ni la gas mambo ya wali natumia rice cooker, gheto langu ni kali mno, la kibabe linang'aa...
2 Reactions
29 Replies
19K Views
Kesho nipo home siku nzima, Nataka nipike Pishi zuuri ili nile na familia yangu. Ni kitu gani kizuri simple naweza kupika? Nataka nimsuprise wife na nimuweke na housegirl pembeni. Kesho nashangaza...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni...
2 Reactions
2 Replies
446 Views
Inabidi week yako moja uamue tu hakuna kula ugali wala wali ni mwendo wa ndizi, choroko, soya, pweza, papai, tango, Viazi, maziwa, maji, karanga.
4 Reactions
10 Replies
940 Views
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati? Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa mtu mjuzi, jinsi ya kubandua karatasi za chapati redi medi, kila napobandua, naweza upande mmoja, napojaribu kubandua upande wa pili shepu ya chapati inaharibika, wajuzi...
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Wakuu habarini za weekend niende Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa naomba kujuzwa vipimo vya kutengeneza kashata yaan kuanzia karanga nusu na kuendelea kuanzia sukar na maji kias gan asanten sana na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. hivi mmewahi jiuliza kwanini wachina, wazungu, waarabu kwanini hawali ugali? Marekani inalima mahind sana ila hawali ugali ni chakula cha ngombe. Kuna uhusiano wa chakula alacho mtu na...
0 Reactions
2 Replies
639 Views
Kuhifadhi viungo vya chakula ni muhimu ili viweze kudumu kwa muda mrefu na kudumisha ladha na harufu yake. hizi ni njia kadhaa za kuhifadhi viungo vya chakula: 1. Hifadhi Katika Vyombo Vizuri...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumaini wazima Kuna wakat tunakuwa na ndiz zimeiva sana kias umeamua huwez kuila pika hivi Kwa kutumia ndizi Mahitaji 1)Ndizi za kuiva mbili 2) nganovijiko vya chakula vitatu 3)mayai...
22 Reactions
34 Replies
4K Views
Wapishi wa nyama katika migahawa, Bar, hotel, sherehe na hata majumbani hakikisheni nyama zinaiva vizuri na kuwa laini kabisa. Iwe nyama ya kuchemsha, kuchoma au kukaanga nyama inatakiwa iwe...
21 Reactions
87 Replies
5K Views
Wanajukwaa habari zenu! Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali? Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani? Kuna makundi makuu ya...
3 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa...
13 Reactions
108 Replies
7K Views
Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania ukitaka kuamini hayo muulize hata SHIMBA YA BUYENZE au ngosha wa mwanza Udaga ni...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Natafuta brashi za kuosha machupa ya water dispenser, maana uoshaji wake ni changamoto
1 Reactions
1 Replies
670 Views
Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa. Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko? Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa...
28 Reactions
274 Replies
9K Views
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie. Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni...
6 Reactions
115 Replies
24K Views
Back
Top Bottom