Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Suhendra

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
1,071
2,457
Habari, natumaini nyote mko poa
Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote.

Moja kwa moja niingie jikoni

MAANDALIZI.
kitunguu thoumu
Tangawizi
pilipili manga ya unga
binzari nyembamba
Mdalasini
chumvi
Nyama mbichi
Maziwa
Tomato past
Karoti
Nyanya ya kawaida

wazichanganya kwenye sufuria moja then watia jikoni

Kisha wapika wali ambao watia rangi mbili,

Viazi watia rangi,chumvi kisha wakaanga

Kitunguu maji wakaanga halafu wachanganya kwenye mchuzi wako.

Mpaka hapo biriani liko tayari kuliwa.
 
images.jpeg
 
Watia jikoni kwa muda gani?

Wali watia rangi mbili zipi rafiki?

Hizo rangi rangia WATIA toka wapi na ni rangi gani?

Ila hizo mchanganyiko kupata si mchezo...

Nielekeze nipike muda huu rafiki.
Mpaka ukiona imeiva.

Rangi kila mtu ana rangi apendazo maybe kijani, njano .nk

Rangi watia mfano kijani pembeni na njano pembeni katikati ina baki nyeupe ambao ndio mchele ila usitie rangi nyingi sana ni kidogo tu then wageuza
 
Mpaka ukiona imeiva.

Rangi kila mtu ana rangi apendazo maybe kijani, njano .nk

Rangi watia mfano kijani pembeni na njano pembeni katikati ina baki nyeupe ambao ndio mchele ila usitie rangi nyingi sana ni kidogo tu then wageuza
Ok,nimeelewa ni rangi zenye taste.

Wait nikatafute rangi,

Hazina lugha nyingine?
1.binzari nyembamba
2.Abdala sinni

Kutopata hizi naona sitokamilisha biryan,nitapika vitu za ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom