Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya...
1 Reactions
1 Replies
502 Views
Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi bunifu(TuzoNyerere) 2025 nyanja ya Ushairi Sheikh Hussein Kondo Abdallah Almaarufu Daruweshi Mkulu Wanyika atangaza neema kwa watunzi. Ameweka...
2 Reactions
1 Replies
385 Views
Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea...
2 Reactions
6 Replies
587 Views
Naomba kujua maana ya neno Upwiru kama linavotumika mitandaoni mf "natamani kuwa singo ila nina Upwiru linakaba koo".
0 Reactions
6 Replies
58K Views
Wadau wale wanazungumza lugha ya hispania hapa ndio tuongeze maujuzi maujanja tuchat kwa lugha hii tusipoteze dira ili na wale amabao wana uelewa mdogo waendelee kuzoea. Ushauri Tufanye yetu...
3 Reactions
209 Replies
22K Views
Hello Comrades!!! It be said frankly that if one wants to learn something he or she must be curious and inquisitive... ofcoz,i genuenely want to learn english,i think the time when i will be able...
1 Reactions
6 Replies
29K Views
Huu msemo wa Waswahili "hujafa hujaumbika" huwa una maana gani?
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa. Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni...
7 Reactions
83 Replies
4K Views
Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno...
5 Reactions
3 Replies
22K Views
Jakaya =Za Nyumbani Kikwete = Asiyejali Namnani Havae = Vipi Aisee Uitwanga nani? = Unaitwa Nani? Watonga wapi = Unaenda wapi Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa) Nienda kukodhoa kidogo =...
0 Reactions
98 Replies
92K Views
Hichi kingereza nimekutana nacho kwenye ofisi ya msomi mmoja, akimkaripia muajiriwa wake na vikingereza vya kuungaunga. I'm not your friend my friend,wasomi wa Tanzania buana!!
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa yeyote anayejua anifahamishi hizi mbegu zinazoitwa kwa kiiingereza Flax Seed au Lin seed zinaitwaje kwa kiswahili na ni wapi naweza nikazipata Dar es salaam, au mahali...
0 Reactions
17 Replies
69K Views
Very happy to post this information regarding the Kiingereza HkH English course, which is now available in printed form too. Don't forget the app, which includes a number of books, can still be...
1 Reactions
3 Replies
764 Views
UKIMWITA MAMA ATAITIKA? 1 Kuna hii nasikia, ati mjomba ni mama Hii ndio nashangaa, hivi nani alisema? Kila nikifikiria, n'ona moyo waniuma Hivi ukimwita mama, ya kweli ataitika? 2.Mama mzazi wa...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Wakuu naomba kujifunza lugha ya Kikurya. Kwa mwenye ujuzi na hili naomba atupie maneno ya kiswahili pamoja na tafsiri yake kwa kikurya au kinyume chake. Tupia maneno mengi kwa kadri uwezavyo.
1 Reactions
15 Replies
22K Views
Kama hawana tofauti, kwa nini mnyama mmoja tupoteze muda kumpa majina mawili?
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Watu wanaotamka ridhiki badala ya riziki wanakuwa na matatizo gani ya ulimi au ubongo?
2 Reactions
16 Replies
944 Views
Kuna siku tulitembelewa na baharia ambaye ameishi pakistan,india,ufaransa na kwa sasa anaishi canada na hizo nchi zote kuangaika kwake ametumia mda mrefu tokea akiwa kijana katika safari ya...
4 Reactions
3 Replies
498 Views
Back
Top Bottom