Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Jakaya =Za Nyumbani

Kikwete = Asiyejali

Namnani Havae = Vipi Aisee

Uitwanga nani? = Unaitwa Nani?

Watonga wapi = Unaenda wapi

Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa)

Nienda kukodhoa kidogo = Naenda kukojoa Kidogo

Harika!!! = Kuonesha Mshangao!

M'bora = Mwanamume (Mvulana)

M'bwange = Mwanamke (Msichana)

Shiga Du! =

Iki..

N'zhoo = Njoo

MICHANGO YA WADAU:
Hewaa! Mkwea ni shemeji wa kike, lakini neno Kwea= panda, ukiweka Mkwea ni mtendaji(mpandaji) hapa huwa inatatiza kweli kweli kama mnanifahamu...

Nyika= ni mbali na nymbani, Mnyika= aliyetoka mbali na nyumbani(eneo la upare), kule Bukoba tunawaita Wanyamhanga.

Wapare wapo katika makundi mawili, lile la kaskazini kule mwanga na wale wa Same. Wale wa mwanga wanatumia sana 'th' na wale wa same 's' bila kubadili maana. Ni kama kiingereza cha queen (subsidise) na US(subsidize). Uishangaae ukisikia mtu anasema 'Nsienda' na mwingine 'nthienda'.

Kwa wengine matamshi tu na 'tonation' tunaweza kubaini ametoka sehemu gani ya upare. Wanasikilizana bila matatizo tofuati na sisi wachaga ambao ukituweka'diamond jubilee' hatuelewani. Sisi ni afadhali tungeitwa Shirikisho la wachaga(anyway hiyo ni next topic)

Kipare kinaingiliana na kisambaa kwa ukaribu zaidi na mchanganyiko wa wapare na wasambaa unatoa kiru kinaitwa Wambugu ambao huongea kama 'criole' yaani kipare-sambaa. Kuna wapare wa kahe ambao nao wanaongea kipare haraka haraka sana kiasi cha kuonekana kama lugha tofauti.

Ndani ya jamii ya kipare kuna kikabila kinaitwa 'Wagweno'. Ukweli ni kuwa koo kama za washana, wasuya, wasangi wapo wagweno. Kigweno ni karibu saana na Kirombo hata jiografi inaonyesha ukaribu huo. Mgweno anaweza kuwasilina na Mrombo kwa urahisi sana kuliko Mrombo kuwasiliana na Mmachame!

Lakini licha ya kuishi ndani ya kabila la Wapare, Wagweno wanasikia Kipare vizuri sana na hata kuwasiliana wakitaka. Kinyume chake mpare hasikii Kigweno! Ukweli unabaki kuwa Wagweno ni sub tribe ya Wapare ingawaje ni wakaidi kama Binamu zangu Wazanzibar. Yaani yale yale ya Wzbar kuhusu muungano, typical.

Koo kubwa na maarufu za wapare bila mpangilio wowote
Wasuya (hawa inasemekana na historia inathibitisha ni koo ya watawala)
Washana(Hawa ni wafua vyuma, wahunzi a.k.a smith) kama mshana atataka jina mbdala, basi ni gold Smith au iron smith
Wambaga(Wataalamu wa mvua lakini pia ni wazuri wa sayansi mbadala ya ungo)
Wazirai( Hawa ni money makers kwa kutumia maneno, wengi ni ma-lawyer, wasiofikia viwango ni matapeli)
Wasangi( Wafanya biashara na watawala)

Koo zingine, wafinanga, wandeme, wagonja, Wawanga n.k

King'ast hena mndu ekundie vubora vujewa, aiatangwa Habdavi !! shooko!

Nini maana ya Nguruvi kwa makabila mbali mbali! next post
===
Mburi aani preta! ugaya chasu kave. nahavache

Mburi=jambo
hethina= hakuna
ugaya=unaongea
Chasu= kipare, Mwasu=mpare
Kave=kumbe

Mpare si neno halisi la kabila ingawa sasa imekubalika hivyo. Original ni Mwasu (a.k.a mwathu). Neno mpare limetokana na historia ya vita kati yao na shirikisho la wachaga(sio kabila). Neno mparee kichaga maana yake mpige na panga, wakati wanapigana wachaga walikuwa wanasema mpare yaani mpige ndipo neno hilo likatokea.

Kipare kinaingiliana kiasi na kisambaa, na wapare wenyewe wanaishi milimani kule Ugweno, Usangi, Mbaga, Vudee, Goma, Kwakoa, mamba miamba n.k.
 
Mbora = msichana & Mbwange = Mvulana
Mche=Mke/Kike & Mosi=Mme/Kiume
Mlala/Mcheku=Mama/Mwanamke & Mghosi/Vava=Baba/Mwanaume
Enga=Shangazi&Abu=Mjomba
 
nahavache nguruvi3. afu utuambie nguruvi maana yake nn!
hapo kwenye shemeji wa kike anaitwa 'mkwea'. yaani kaka wa mume wangu ni mkwea!
 
nahavache nguruvi3. afu utuambie nguruvi maana yake nn!
hapo kwenye shemeji wa kike anaitwa 'mkwea'. yaani kaka wa mume wangu ni mkwea!
Hewaa! Mkwea ni shemeji wa kike, lakini neno Kwea= panda, ukiweka Mkwea ni mtendaji(mpandaji) hapa huwa inatatiza kweli kweli kama mnanifahamu...

Nyika= ni mbali na nymbani, Mnyika= aliyetoka mbali na nyumbani(eneo la upare), kule Bukoba tunawaita Wanyamhanga.

Wapare wapo katika makundi mawili, lile la kaskazini kule mwanga na wale wa Same. Wale wa mwanga wanatumia sana 'th' na wale wa same 's' bila kubadili maana. Ni kama kiingereza cha queen (subsidise) na US(subsidize). Uishangaae ukisikia mtu anasema 'Nsienda' na mwingine 'nthienda'.

Kwa wengine matamshi tu na 'tonation' tunaweza kubaini ametoka sehemu gani ya upare. Wanasikilizana bila matatizo tofuati na sisi wachaga ambao ukituweka'diamond jubilee' hatuelewani. Sisi ni afadhali tungeitwa Shirikisho la wachaga(anyway hiyo ni next topic)

Kipare kinaingiliana na kisambaa kwa ukaribu zaidi na mchanganyiko wa wapare na wasambaa unatoa kiru kinaitwa Wambugu ambao huongea kama 'criole' yaani kipare-sambaa. Kuna wapare wa kahe ambao nao wanaongea kipare haraka haraka sana kiasi cha kuonekana kama lugha tofauti.

Ndani ya jamii ya kipare kuna kikabila kinaitwa 'Wagweno'. Ukweli ni kuwa koo kama za washana, wasuya, wasangi wapo wagweno. Kigweno ni karibu saana na Kirombo hata jiografi inaonyesha ukaribu huo. Mgweno anaweza kuwasilina na Mrombo kwa urahisi sana kuliko Mrombo kuwasiliana na Mmachame!

Lakini licha ya kuishi ndani ya kabila la Wapare, Wagweno wanasikia Kipare vizuri sana na hata kuwasiliana wakitaka. Kinyume chake mpare hasikii Kigweno! Ukweli unabaki kuwa Wagweno ni sub tribe ya Wapare ingawaje ni wakaidi kama Binamu zangu Wazanzibar. Yaani yale yale ya Wzbar kuhusu muungano, typical.

Koo kubwa na maarufu za wapare bila mpangilio wowote
Wasuya (hawa inasemekana na historia inathibitisha ni koo ya watawala)
Washana(Hawa ni wafua vyuma, wahunzi a.k.a smith) kama mshana atataka jina mbdala, basi ni gold Smith au iron smith
Wambaga(Wataalamu wa mvua lakini pia ni wazuri wa sayansi mbadala ya ungo)
Wazirai( Hawa ni money makers kwa kutumia maneno, wengi ni ma-lawyer, wasiofikia viwango ni matapeli)
Wasangi( Wafanya biashara na watawala)

Koo zingine, wafinanga, wandeme, wagonja, Wawanga n.k

King'ast hena mndu ekundie vubora vujewa, aiatangwa Habdavi !! shooko!

Nini maana ya Nguruvi kwa makabila mbali mbali! next post
 
Nikundie kimbare kwnrikweri mira nithimanya kukiteta, nethikia ukimanya kugaya kimbare unegara kithungu nedho kerikweri, NIKWERI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom