Nyabhatimbaru - aina ya panga yenye kisogoWakuu naomba kujifunza lugha ya Kikurya. Kwa mwenye ujuzi na hili naomba atupie maneno ya kiswahili pamoja na tafsiri yake kwa kikurya au kinyume chake.
Tupia maneno mengi kwa kadri uwezavyo.
mkuu alphabeti ya kikurya haina sauti "L " bali "R " kumbuka hilo kwanza!Mi nayajua mengi
Amang'ana ......Mambo
Walayee....salam ya Asubuhi
Nohoyelee...Mchana
Orareee....usiku mwema
Amanche....Maji
Itaendelea.....
Amaswaswa au Obhoghanga
Amaswaswa au Obhoghanga
Mkuu thanx kwa hayo machache, nashauri uzi huu tuujenge zaidi kwa maneno mengi yanayotumika kila siku mfano:Omukanghi - Mjinga
Omurisha - Ambae hajatailiwa (Mwenye Govi)
Ekino - Panga au kisu kikali
Kutema- kupiga
Kughecha - kukata kwa panga
Aisee Lipia Tuition Tata Mura .
Haaa Haaa Haya Tata.Mkuu thanx kwa hayo machache, nashauri uzi huu tuujenge zaidi kwa maneno mengi yanayotumika kila siku mfano:
Habari yako
Habari ya asubuhi, ya mchana, ya usiku, habari za siku, habari za toka jana nk
Je watoto hawajambo? wamekwenda shule? je mama yao hajambo? je baba yao hajambo,
Baba, Mama, Mjomba, Shangazi
Jana, Juzi, leo
Karibu chakula, Karibu nyumbani, karibu upumzike, unaonekana umechoka sana
mbona una hasira? Mbona hujibu? mbona unakaa kimya?
Karibu maji ya kunywa
Mimi, wewe, wao, yeye, yule, huyu, sisi
Nakwenda, nilikwenda, nitakwenda
tunaenda, tulikwenda, tutakwenda
wanaenda, walikwenda, watakwenda
anaenda, alikwenda, ataenda
amepumzika, ninapumzika, nimechoka, naumwa, pole kwa kuumwa
Mungu ni mwema
Naomba hayo tuyatendee haki
Nawasubiri mjeHaaa Haaa Haya Tata.
sawa muraWatakuja Mura subiria
Thanxnokwe aghongwe. Mungu ashukuriwe