Baadhi ya habari zinazoandikwa humu zinashangaza Sana. Hivi siku hizi kiswahili hakifundishwi mashuleni? Fikili badala ya fikiri, safili badala ya safiri, Dora badala ya Dola, mahali badala ya...
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
wakuu..nimesikia hili neno leo wakati nikiangalia taarifa ya habari ya TBC1...liliwekwa tangazo moja kutoka ofisi ya CAG likiwataka maafisa masuuli kuwasilisha financial statements za taasisi zao...
Listen up, vijana wa Bongo:
Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama:
"Yo, I been grindin’ since day uno, no cap."
"I’m outchea...
[Sw]
Nilikuja, nikaona, nilikuja, nikaona
Namsifu Bwana, halafu navunja sheria
Nachukua changu, kisha nachukua zaidi
Inanyesha, inamiminika, inanyesha, inamiminika.
[En]
I came, I saw, I came...
Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha.
Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa...
Habari zenu wanajamii forums
Leo naomba kuelekezwa maana ya neno NDWELE maana tunasema yaliyopita si NDWELE tugange yajayo sasa nini maana ya NDWELE maana ninalisikia kwenye huu msemo tu ila...
Habari wanaJF,
Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu.
Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu...
Nilipokuwa form One baadhi ya maneno nilikuwa naya-assume (najitengenezea) maana zake katika fikra zangu kwa sababu kiingereza lilikuwa hakipandi. Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya kiingereza na...
Aight, lemme break it down real smooth for you — street style.
Listen up, English be the most taught language on this damn planet, no cap. You go any corner of the globe — Africa, Asia, Europe...
Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo.
Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu.
Mwingine utasikia akiseme...
Salaam JamiiForums
Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza.
Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana.
Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.