Bongo/Wabongo hivi neno hili limetokea wapi na maana yake ni nini? Neno hili lilipoanza nilikuwa nikiishi kigoma, kipindi hicho kulikuwa na watanzania wengi walikuwa wakienda Karemii -Zaire (DRC...
Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l"
"Karibu" mtoto anaandika " kalibu"
👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na...
Wadau hamjamboni nyote?
Zipo lugha nyingi za asili kwetu Watanzania lakini kiswahili siyo miongoni mwao
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima pekee
Dominika njema
RIWAYA: KOSA
MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA
SIMU:+255713776843
+255762219759
WHATSAPP:+255713776843
SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA AFYA NJEMA...
Habari ndugu zangu. Nina hamu sana ya kufahamu lugha ya majirani zangu wasambaa. Ni kipaumbele kwangu kwa kweli likija suala la kujua lugha mbalimbali tofauti. Kuna mtu anaweza kunipa mbinu...
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert...
Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki .
Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika...
Hili neno "kushenyeta" naliona kwenye muktadha tofauti tofauti sana na inanipa ugumu kujua maana yake halisi ni nini.
Wataalam wa lugha hebu tuambieni maana halisi ya hili neno
Mungu alijitambulisha kwa MUSA kwamba yeye anaitwa " MIMI NIKO"
Kutoka 3:14
MINI MAANA "MIMI NIKO"?
Haya maneno asili yake ni lugha ya kiEbrania "Ehyeh Asher Ehyeh"
Nini maana ya Ehyeh Asher...
Habarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja...
BARUA KUTOKA JELA
Kuna mbaba mmoja, mwanae lifungwa jela,
Jina lake sitotaja, nakataliwa na mila,
Machozi yakamvuja, mfukoni hana hela,
Barua kutoka jela, ilimkomboa baba.
Aliandika barua, kwa...
WYNE LOTTER
1)Majonzi makubwa sana,kwa haya yalotokea
Hadharanu kuuana,wale wanaotetea
Wanyama wazuri sana wasije kuangamia
Ni nani alomuua,apingae ujangili.
2)Aliyapita masafa,kuingia Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.