Rais wa Tz JPM yupo live akizindua soko la Tumbaku huko Malawi,anahutubia kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili huku kukiwa na mkalimani.
Je hii ni namna ya kulinda lugha na kuitangaza lugha...
Habari wanajamvi,
Kuna baadhi ya taasisi kubwa ambazo zinatumia vibaya neno tunapenda.
Zinatumia neno hilo kutoa taarifa njema na mbaya bila kujali muktadha.
Kuna siku niliona taarifa kwa uma...
Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni...
Jamani wataalamu wa lugha, hebu tusaidiane hii kitu iliokuja kwa meli, heading nzuri kwa kuandika barua ya kiofisi kwa lugha ya kiingereza kuhusu kuhairisha masomo kutokana na ugonjwa inaweza...
Suuratul An-nisaai 28
Mwenyezi Mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu.
Zaburi 56:4
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu...
Hili sakata limenifanya nifatilie na nijue nini maana ya neno "dhaifu" na je "dhaifu" ni tusi?
Maana ya neno "dhaifu" kutokana na kamusi.
Maana ''dhaifu'' , kivumishi....ni kitu kisicho na...
Narudia tena. Hii salamu haifai kwanza inahusishwa na biashara ya utumwa kuendelea kutumiwa na mwafrika ni kumdhalilisha mwafrika.
Pili huwezi jua nani uumpe na nani usimpe maana huwez kuwa...
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa...
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.
Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu...
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo...