Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali; kisha anayejibu huhitajika kufikiria ili kutambua jibu. Kinyume na vitendawili, majibu ya mafumbo huwa na maelezo...
1 Reactions
2 Replies
24K Views
Kitendawili hiki ni maalumu kwa wale Magreatest Thinkers wanaopendelea na wenye uzoefu wa kula matunda. Ila kama wewe suala la kula matunda mpaka uandikiwe na daktari huwezi kujibu iki kitendawili...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima. Leo ni siku nyingine tena tumekutana kupeana mawili matatu katika lugha ya kiingereza. Siku ya leo tutajifunza jinsi ya kutumia SHOULD, COULD na WOULD...
3 Reactions
13 Replies
9K Views
Karibu moja kwa moja darasani Simple Future Tense (‘ta’) - Wakati huu huongelea jambo litakalofanyika na kukamilika mara moja wakati ujao. Mifano; tutakuja, watatembea, atacheza. - Wakati huu...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Unapoanza kujifunza kiingereza unatakiwa ujue baadhi ya kanuni muhimu ya lugha hii . Kanuni hizo utazijua baada ya kujifunza grammar . Grammar itakusaidia kutunga sentensi zako kwa usahihi na pia...
6 Reactions
22 Replies
9K Views
Umeelewaje msemo huu ? ''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani''
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salamu nawasalimu, Amani nawatakia, Niishikapo kalamu, swali nawaulizia, Si fumbo la kitalaamu, ni hoja nawapangia, Umevunjika chunguni, mwiko wangu, mwiko wangu! Kupika ninavyopika, nikipika...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
MPISHI ASO BAHATI. Babu nakusalimia,nadhani umeitika Swali limenifikia,lazima litajibika Wengi wamelikimbia,na mimi sitoliruka Sababu ulinambia,kwa hilo sitosifika Mwiko nimefikiria,kwanini...
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Ni ajeee wana wa humu Ndichi hopefully mambo ni full yeng'eng'e...Basi bhana Jana Night baada ya kutoka kwenye Mbanga zangu za kusakanya Moneygram mjuba nikaona bora nipitie Shola(Shop)Nijipoze...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habar wadau,nahitaji nijue hio lugha kwani napenda sana nianze salamu asubuhi mchana jioni kwa wanaume au wanawake nianze hapo.
1 Reactions
17 Replies
19K Views
Wataalamu wa kiswahili nisaidieni kwa hili mtu unamkaribisha chakula halafu anasema Asante.Anamaanisha nini anakubali kula au vipi?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Halo JF habari mchanganyiko. Juzi nilikuwa na watasha ama wazungu sehemu. Moja alikanyanya jiwe dogo na kuteleza nusura aanguke. Nilishindwa kabisa cha kuongea kwa kumpa pole baada ya neno pole...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Wakuu hii lugha binafsi huwa naiona tamu sana, sambamba na kirusi. Wajuvi karibuni tupeane juzi mbalimbali . Obrigado......
2 Reactions
122 Replies
12K Views
Hakika maneno ya wahenga ni hazina kubwa, Najivunia lugha adhimu ya kiswahili.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti ivi ikitokeya Ali kiba akaenda kutumbwiza South Sudan ao mayotte ..ataimba kitu gani ili waweze kumuelewa?? Ao atabana puwa ajikamuwe hadi wamuelewe kama anaimba like Madonna?
1 Reactions
20 Replies
3K Views
voodoo economics noun INFORMAL•US an economic policy perceived as being unrealistic and ill-advised, in particular a policy of maintaining or increasing levels of public spending while reducing...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hili bila shaka lilikuwa fumbo kubwa sana , maana katika hali ya kawaida hakuna binadamu anayekula nyama za watu , na kwamba akinogewa ataendelea kuwatafuna tu binadamu wenzake hili si la...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Akutendeae Mema, Kushukuru ni lazima Jaza ya mema ni mema, Maovu kutoyatia Mbona umeghafilika? Kwa jambo lisilo shaka? Shetani umemshika, Na kumuacha Nabia? Unajifanya Mtesi, Kwa Mola wako Mkwasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…