Wale wazee wa Grammar,,,, embu njooni mtuambiee hapa....! Someone asked "are you with it"?
Which is the best answer to be answered amongst of the following,,,,
a) am not with it...
b) its not...
Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka...
Wadau,
Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa, Je inawezekana nikawa vizuri ktk kuongea ndani ya wiki 2 au mwezi mmoja?
Kama inawezekana ni wapi naweza kupata mafunzo ya lugha hii?
Shukrani...
Habari wana JF.
Kama kuna mtu yeyote anayeandika hadithi kwa lugha kwa kiingereza ningependa kuzitafsiri hadithi zake kwa lugha ya Kijerumani. Nitatoa kipaumbele kwa hadithi ambazo tayari ziko...
Habari zenu wana JF, Nimekuja naomba mnisaidie maana ya msemo ufuatao: Kuna sehemu nilikuwa nikipita mama mmoja alikuwa anapenda kuniimbia wimbo huu Nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu...
1. Head of Department - Mudiri wa Idara "ya"
2. Dean of School - Amidi wa Shule kuu
3. Dean of Faculty - Mtiva wa Kitivo "cha"
4. Collage - Ndaki
5. Principle - Rasi
6. Principle of Campus...
Kutokana na sakata la kuibiwa machine ya Ultrasoud, vyombo vingi vya habari vimekua vikielezea kuhusu tukio hili.
Wengi wamekua na matamshi tofauti, sasa je tunatamka Yutrasaund au Altrasound...
1. ARBITRARY: based on individual discretion or judgement, NOT based on OBJECTIVE distinction, perhaps even made at RANDOM.
2. AMBIGUITY: something, particularly words and sentences open to more...
Kuna mengi katika historia ya ushairi na maisha ya washairi ndani ya Tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa haijukani na wengi wala kuhuifadhiwa katika kumbukumbu nzuri za kihistoria kwa sababu...
Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali; kisha anayejibu huhitajika kufikiria ili kutambua jibu. Kinyume na vitendawili, majibu ya mafumbo huwa na maelezo...
Kitendawili hiki ni maalumu kwa wale Magreatest Thinkers wanaopendelea na wenye uzoefu wa kula matunda. Ila kama wewe suala la kula matunda mpaka uandikiwe na daktari huwezi kujibu iki kitendawili...
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima. Leo ni siku nyingine tena tumekutana kupeana mawili matatu katika lugha ya kiingereza.
Siku ya leo tutajifunza jinsi ya kutumia SHOULD, COULD na WOULD...
Karibu moja kwa moja darasani
Simple Future Tense (‘ta’)
- Wakati huu huongelea jambo litakalofanyika na kukamilika mara moja wakati ujao.
Mifano; tutakuja, watatembea, atacheza.
- Wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.