Jifunze jinsi ya kutumia 'Should', 'Could' & 'Would'

English Kona

English Kona

Member
Feb 24, 2019
21
75
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima. Leo ni siku nyingine tena tumekutana kupeana mawili matatu katika lugha ya kiingereza.

Siku ya leo tutajifunza jinsi ya kutumia SHOULD, COULD na WOULD.

Watu wengi wanaojifunza lugha ya kiingereza inakuwa ngumu kwao kuweza kutofautisha na kutumia maneno haya ( SHOULD, COULD & WOULD ) kwa ufasaha.

Kama na wewe ni miongoni wa watu wanaoshindwa kutumia maneno haya kwa ufasaha , basi nimekuekea video ya somo hilo. Video hiyo ni ya dakika 3 tu, ndani ya muda huo utaweza kuyatumia maneno hayo kwa ufasaha.Tafadhali usisahau KU- SUBSCRIBE channel yetu.

SUBSCRIBE =>https://m.youtube.com/channel/UC-lRMLqXJ_1cfZINILPYgjg

Kama kuna sehemu hujapaelewa, tafadhali uliza ili ueleweshwe.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
5,311
2,000
English Kona,

Thank you very much.
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
442
500
AISEE IT WOULD BE OF GREAT HELP FOR THOSE WHO STILL HAVEN'T CATCH UP WITH SUCH WORDS.
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
4,798
2,000
AISEE IT WOULD BE OF GREAT HELP FOR THOSE WHO STILL HAVEN'T CATCH UP WITH SUCH WORDS.
May be it should be a great help for those who needs to catch up with those words.

o_Oo_Oo_Oo_Oo_O
 
A

adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
979
1,000
Tunaoumia ni sisi wa freebasic na Nokia za tochi
 
K

kasweswe

Member
Aug 25, 2018
42
95
May be it should be a great help for those who needs to catch up with those words.

o_Oo_Oo_Oo_Oo_O
Haaaahaaaaa I've seen you have broken the kiinglish ....."those who needs" this really not correct. Any way can be typing errors.
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
4,798
2,000
Haaaahaaaaa I've seen you have broken the kiinglish ....."those who needs" this really not correct. Any way can be typing errors.
Rekebisha makosa basii, acha kucheka
 
Clement paul

Clement paul

Member
Oct 27, 2016
89
125
Open WhatsApp group tht will be only for English learners bro...it'll help
 
Top Bottom