Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
10 days ago I was accused of "hotlinking". I am a bit mshamba. What is hotlinking and what did I hotlink with what.? Naomba kuelimishwa.
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani . Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
OSHA DOMO LAKO. Wazi wewe mbaguzi,hata uso na maana Hakika we mlanguzi,leo wazi nakuchana Haujapita makuzi,natamani kutukana Jagwa osha domo lako,ushindwe na ulegee Wafrika sote ni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nisadieni app ya kubadili lugha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol" 1. Lina maaana gani ? 2. Hutumika mazingira gani ? 3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ? Asanteni .
1 Reactions
113 Replies
42K Views
Habari wana jamii forum. Lengo la uzi huu sio kudhihaki au kejeli bali ni kutoa elimu na kukumbushana kuhusu misemo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili. Kama wewe ulisoma shule ya msingi kama Mimi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nataka kujfunz kiarabu vp apo kuna maticha???
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Mademu wa dar akitaka kuja geto unamtumia nauli Na akifika geto eti baby toka njee ulipe bodaboda Na akiingia geto eti baby sijala nataka chips anapotaka kuondoka eti baby hi hela haitoshi naomba...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Siku zima likemeka Home hakuna kazi yeyote anayo ifanya ata usafi Zero kazi tu kuagizia chips na kuangalia tamthilia same time wapo kwenye social media kama insta .badoo na tinder kuwachuna mabuzi...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Mabati Cornell Kiswahili Prize for African Literature: 2019 Call for Submissions We are pleased to call for submissions for the 5th The Mabati Cornell Kiswahili Prize for African Literature. The...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Wakuu habari! kichwa cha habari kinajieleza. Nilikua naangalia sherehe ya kuagwa Dr.Kimei wa CRDB,sasa alipohojiwa Mwenyekiti wa Bodi akasalimiwa heshima yako nae akajibu 'heshima yangu ni nzuri'...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Hivi neno mpumbavu na neno mjinga kuna tofauti gani ?
1 Reactions
2 Replies
5K Views
.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini; Mimi ni mtunzi nguli wa mashairi ya kiswahili. Kwa muda mrefu sana nina hamu ya kushindana na watunzi wenzangu wa mashairi, nikiwa na imani ya kushinda. Ila sijawahi kusikia wala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dramatic dialogue is a means of characterization in drama.justify [emoji31][emoji31]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika king'amuzi cha startimes kuna channel ya *swahili kuna vipindi vinaandikwa PG na GE, mf kipindi kifuatacho kina kiwango cha PG au GE hivo kinafaa au hakifai kwa watu wenye umri flani, je...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Kawia ufike kwa kiingereza inatamkwaje ?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimekuwa nikiuliza sana ,imekuwaje kizazi cha sasa hakigundui tena methal na nahau kama ilivyokuwa zamani! Nimetumia neno kugundua kwa kuwa nimekosa neno sahihi. Je, ni kwanini methali ,nahau na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana nauliza kama kuna mtu nakumbuka beti zote za shairi la WACHEZA BAO LA KETE WAONGO NA WAZANDIKI lililotungwa na Saidi Nyoka( Udogo si Hoja)? Natafuta Malumbano yao na Andanenga kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom