Kitendawili: Je ni tunda gani muonekano wake wa nje unatisha ila ndani tamu?

Tetramelyz

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
3,674
Points
2,000
Tetramelyz

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
3,674 2,000
Kitendawili hiki ni maalumu kwa wale Magreatest Thinkers wanaopendelea na wenye uzoefu wa kula matunda. Ila kama wewe suala la kula matunda mpaka uandikiwe na daktari huwezi kujibu iki kitendawili hata ukipewa miaka mia. Kwahiyo wala husijisumbue kujaribu kutoa jibu utachekesha hata walionuna

Katika matunda yote matamu yanayofaa kuliwa na mwanadamu. Utamu wa tunda unalingana na muonekano wa nje wa tunda lenyewe. Ebu chukulia mfano matunda kama Zabibu (Blackberies), Apples, Passion, Strawberies n.k.
Na hii ni kanuni ya asili ya matunda karibia yote duniani yanayofaa kuliwa na mwanadamu

Lakini kuna tunda moja tu ambalo muonekano wake wa nje na utamu wake wa ndani havilingani kabisa. Na tunda ili linapingana na kanuni ya asili ya matunda. Ingekua utamu wa tunda unalingana na muonekano wake. Tunda hili la ajabu usingelitamani kulila. Manake khaaaa muonekano wake wa nje unatisha lakini...UTAMU wake wa ndani maajabu!

Je tunda ili la ajabu ni tunda gani?🤔
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,689
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,689 2,000
hivi tufaa uzuri wake u wapi?
 
Mpyena Blazze

Mpyena Blazze

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
717
Points
1,000
Mpyena Blazze

Mpyena Blazze

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
717 1,000
Jamaa hapa utakua unazungumzia Eden tu!!!
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
4,857
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
4,857 2,000
Kitendawili kimekuwa kirefu sana hii itakuwa riwaya
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
42,777
Points
2,000
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
42,777 2,000
NGOJA WAJE
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
30,158
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
30,158 2,000
Tunda la mti wa kati... mti wenyewe siujui ni mti wa aina gani...


Cc: mahondaw
 
Miss kyalla

Miss kyalla

Senior Member
Joined
May 13, 2019
Messages
125
Points
250
Miss kyalla

Miss kyalla

Senior Member
Joined May 13, 2019
125 250
Kwan eden inamuonekano mbaya jamanii hahahaaa
 
Miss kyalla

Miss kyalla

Senior Member
Joined
May 13, 2019
Messages
125
Points
250
Miss kyalla

Miss kyalla

Senior Member
Joined May 13, 2019
125 250
Na je hata edeni ya mwanaume ni tundaa??
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,879
Points
2,000
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,879 2,000
Hilo ni Doriani
Heri muonekano wa nje kuliko ile harufu ya duliani inavyochefua! Hata wanakoyaheshumu kama nini nchi kama Malaysia, Thailand na Myanmar kuna tangazo Airport kuwa huruhusiwi kuliingiza kwenye ndege.
 

Forum statistics

Threads 1,326,680
Members 509,566
Posts 32,230,825
Top