Swahili should be officialized as an official language in Oman

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,152
27,183
Nimekuja Muscat Oman and i wonder jinsi Kiswahili kilivyo enea hapa Oman. People speak Swahili like they don't mean nothing.

Interestingly Kuna waoman wamezaliwa Oman.wamekulia Oman na hawajawahi kufika Tanzania,Mombasa wala Zanzibar but they speak fluent Swahili.

Nyimbo za kibongo ndo usiseme, Alikiba, Diamond etc.

It's high time now mamlaka za Oman zikitangaze Kiswahili Kama moja Kati ya lugha zake za Taifa.

Kama hilo litatokea basi Oman itakuwa ndio nchi ya kwanza nje ya bara la Afrika kuofficialize Kiswahili.

Manegers wa wanamuziki wa Bongo nendeni Omani mkafanye research nyimbo za wasanii wenu zinapigwa Sana huko na zinapendwa Sana.. Mkiwa serious mnaweza kufanya biashara kubwa Sana huku.
 
Mkuu hapo oman kiswahili ni lugha ya pili baada ya kiarabu, pia wanzanzibar hapo ni nyumbani na wazigua kutoka tanga wapo wa kutosha, na waoman wanaamini zanzbar ni miliki yao ni swala la muda tu kwahy kujifunza au kuzungumza kiswahili ni kitu cha kawaida. Nilipata bahati ya kufika hapo mascut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfalme wa sasa wa oman anahistoria ya kuja sana Tanzania, na wanaomjua wanasema anapapenda sana Tanzania, pia anaongea kiswahili fasaha.

Ila tatizo sisi watanzania, hasa viongozi wetu wa safari hii (CCM), hawanaga shukurani kabisa, kila kukicha tunawatolea maneno ya kejeli/matusi/dharau wale wote wanaotusaidia na wanaoipenda nchi yetu. Kama vile yamelaaniwa na mungu.

Utasikia MABEBERU/MAFISADI/WANYONYAJI wakati wao ndio wanawapa mikataba ya kutupaka "MAFUTA YA KILAINISHI (K-Y)" na kutushughulikia vizuri tu.

Mpaka watu wanaacha kutupa misaada na kuja kutembea nchini.
tapatalk_1579247864071.jpeg
 
Mkuu hapo oman kiswahili ni lugha ya pili baada ya kiarabu, pia wanzanzibar hapo ni nyumbani na wazigua kutoka tanga wapo wa kutosha, na waoman wanaamini zanzbar ni miliki yao ni swala la muda tu kwahy kujifunza au kuzungumza kiswahili ni kitu cha kawaida. Nilipata bahati ya kufika hapo mascut

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom