Waandishi wa Tanzania na maneno "Kuahirisha" VS Kuhairisha

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,798
Ni muda mrefu nimekua nikiona makosa ya uandishi kwenye blog km Muugwana na Jamiiforum watu wakishindwa kuandika neno kuahirisha na kuandika kuhairisha.

Cha ajabu leo vyombo vikubwa vya habari vya Azam na ITV wote wametumia neno "Kuhairisha" badala ya "Kuahirisha."

Je, ndo tuseme hili neno limekubalika kutumika,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom