Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kama inavosomeka hapo juu kwenye pitapita zangu za kusaka maarifa ya kidunia nimekutana na maneno hayo mawili yakionesha utofauti mkubwa. Katika utofauti wa hayo maneno walienda mbali zaid na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The use of the word "MAN" simply implies to Humans, Human beings , Human creation (both men and women collectively in regard to creation. That is what i undersstand, but it has come to my...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Watanzania walio wengi bado imekuwa vigumu kwao ktamka neno "kura" badala yake wanatamka "kula" na hivyo kupelekea kupoteza maana nzima iliyokusudiwa. Tafadhali tusiharibu maana ya KURA. Ni KURA...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yani Kama Kuna Nchi ni ngumu kuishi Tanzania inatia fola. Kwenye maneno yote ulimwenguni mmechagua spana?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Dear all, Be invited to read and comment to this open letter Reference to be made to the heading above, For a while, it has been noted the need of reviewing our language policy through a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hippopotomonstrosesquipedaliophobia Najua hujalimaliza kusoma![emoji1] Hilo neno linatumika kuelezea tabia ya mtu kuogopa maandishi marefu. (Uoga wa maandishi marefu) Neno...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Ingawaji mimi sio msomaji sana wa kamusi ila leo matumizi ya neno "demu"mtaani yamenisukuma kuangalia maana ya neno demu kwenye kamusi. Nimekuwa nikisikia mara nyingi wanaume/wavulana wakutumia...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wasalaam wanabodi, dhumuni la uzi huu ni kueleza kero yangu kwa watangazaji ea kizazi hiki, kero zipo nyingi ila kwa leo ni haka katabia ka kuchomekea vimaneno vya kiingereza kwenye mazungumzo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ongereni kwa kazi za kila siku. Binafsi umri wangu umesonga kidogo (50s) sasa. Kwa ufupi ni kwamba, nimejitahidi sana sana kuwa mwaminifu katika maisha yangu ya ndoa na sasa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Neno utopolo limekua maarufu Sana kwa siku za hivi karibuni likimaanisha kitu kisicho imara(dhaifu). Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuibatiza club ya yanga jina Hilo. Napendekeza neno utopolo...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Habarini ndugu zangu,nimefurahi kuja tena hapa.Naowaomba PDF za vitabu vyake Shaaban Robert Ahsanten
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wa JamiiForum. Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto, vijana, wazazi na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka...
13 Reactions
59 Replies
14K Views
WanaJamvi na memba nijuzeni tafsiri au maana kati ya Swahiba na Rafiki? Tiririkeni.
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Mkirusha matukio live mnaandika Mbashara hiki kiswahili cha wapi? Hili neno linaandikwa Mubashara msituletee mambo ya kihuni kama wale wapuuzi wanaotumia "X" badala ya "S", kuandika "hile" badala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiswahili hakijaenea leo wala jana kuingia Bara na sehemu nyingi za Afrika kwa ukubwa kiswahili kilienea karne ya 20 (Wakati wa wakoloni hasa waingereza na wengineo). > Shughuli za kiuchumi hasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, kwa members wanaoishi Dodoma naomba kupewa taarifa Kama Kuna English club inayotoa fursa ya kujifunza na namna ya kuitumia lugha ya kingereza hapo Dodoma mjini. Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Greetings to all, Early Next week I will be relocating to Dodoma City, hereby requesting your support. I'm a public servant who had an exposure to visit English speaking country in East Africa...
1 Reactions
2 Replies
768 Views
Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Kila nywele ina jina kutokana na sehemu...
0 Reactions
24 Replies
33K Views
Back
Top Bottom