Matumizi ya Sentensi "You are so Sweet” na uhalisia wake

Ngunichile

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
356
519
Habari wanajamvi, Ongereni kwa kazi za kila siku.

Binafsi umri wangu umesonga kidogo (50s) sasa. Kwa ufupi ni kwamba, nimejitahidi sana sana kuwa mwaminifu katika maisha yangu ya ndoa na sasa tuna watoto 4 (2 universities na 2 secondary schools) tunamshukuru Mungu sana sana. Hata hivyo na kama mnavyojua maisha ya ndoa hayapo smooth kiviile so imetokea mara kadhaa tukikosana na mke wangu huwa ninaamua kuchepuka na psychologically inanisaidia kujiona nimempanish mke wangu.

Na niseme tu ukweli katika kipindi chote cha ndoa nimechepuka kama mara 8 tu. Hata hivyo kilichonituma kuandika hii habari ni uzoefu wangu mdogo wa matumizi ya sentensi “You are so sweet” kwa sababu kila nikichepuka naambiwa you are so sweet na ni kwa wanawake/wasichana 7 tofauti. Sasa swali langu ni kwamba, je na nyie huwa mnaambiwa “You are so sweet” au ni mimi tu ??? Je “you are so sweet” ni general term au specific ??

Nawatakia siku njema wote!
 
Spouse unazingua


You're so sweet" ni special kwa wale wanaume wanaojua kuutumia uanamme wao vizuri kunako 6*6. G spot unaijua ilipo na unajua kuifikia, ukiambiwa rub clit una'rub effectively. Ile woman on top na wewe usaidie sio ulale kama mende aliyepoteza fahamu, ukiitwa itikiaaa sio ubaki unagumia kama paka aliyekabwa na mfupa.
Hamna hiyo kitu siku hizi.Hapo tambua unaibiwa,maisha ya sasa So Sweat ni mkwanja tu!
 
Kwa kuwa hatukuwepo mkiambiana hivyo, inatubidi twende kwa ushahidi wa uhalisia ili tujue kwanza kama hiyo kauli unaambiwa kwa nini...tuambie huwa wanakupiga kiasi gani kwa tendo.
 
Kwa kuwa hatukuwepo mkiambiana hivyo, inatubidi twende kwa ushahidi wa uhalisia ili tujue kwanza kama hiyo kauli unaambiwa kwa nini...tuambie huwa wanakupiga kiasi gani kwa tendo.
Swali zuri sana
 
Hahaha " you're so sweet" daah usitufanyie hivi mzee.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Swali fikirishi, mleta mada inaonekana huyu namba 8, kakukuna mpaka umeshindwa kujielewa... unafikiria kugawa mafao :D

Everyday is Saturday............................:cool:
 
Sweat
Sweet

Pia si kila mtu kwake pesa ni kipaumbele ingawa pesa ya babe tamu. Tafuta wa kufanana na wewe utaacha hizo mentality za mapenzi ya sasa pesa..
Kwa nini huwa mnachukia sana kuambiwa ukweli,hivi ni nani alianzisha lile neno "kudanga" kama sio nyinyi wenyewe.
 
Back
Top Bottom