Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Kila nywele ina jina kutokana na sehemu...
0 Reactions
24 Replies
33K Views
Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari Hii inaitwa Number plate Yani kibao cha namba, Kusema plate number ni sawa nakusema Here come, badala ya come here au...
20 Reactions
74 Replies
8K Views
Hili neno limeongezeka umaarufu siku za hivi karibuni na inaonekana limepata maana mpya kwani linapachikwa kwenye kila sentesi. Je nini maana yake? Ilikuwaje likaanza kutrend ghafla?
3 Reactions
45 Replies
7K Views
HAKUNA KIINGILIO na KIINGILIO NI BURE
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja kati ya wale wanaoamini kwamba neno BOMA ni neno la kiswahili na ni nyumba zilizojengwa kwa kuzunguka kama uzio hivi. Nimekutana na mzee mmoja wa zamani akaniambia kwamba neno BOMA...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Niaje niaje wakurungwaaaaaaa......aisee mi nataka kujua hivi kile kiingereza cha yule profesa wa sheria wa kenya PLO LUMUMBA ni kiingereza. chenye asili ya wapi maana misamiati mingi hata ukisema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
.
8 Reactions
27 Replies
18K Views
WASO NA MAONO,WATAWACHAGUA Naam Haina ubishi,hao Wasojitambua Wasojielewa Waso na maono. Tuseme tu Ndio wao,viherere Barabarani,na vikengele Vigelele,wapiga makofi Tutawachagua. Tena Kwa mara...
1 Reactions
0 Replies
410 Views
Kwa wale wenye maneno yoyote ya Kihispaniola unatupia hapa Me naanza na haya usisahau kuweka maana yake kwa kingereza au kiswahili ili watu waweze angalau kuondoka na kitu. Lengo haswa ni ili...
7 Reactions
194 Replies
12K Views
Je, karatasi yenye umri mkubwa kabisa ya maandishi ya lugha ya kiswahili ina umri gani / iliandikwa mwaka gani?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salama wadau. Nianze moja kwa moja kuleta kwenu swali ili kupata ufafanuzi. Kipindi hiki cha joto la uchaguzi kumetokeza majina na maneno mengine ambayo hatuyaelewi wengine. Hili sijui jina au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni: "A" hutumika kutambulisha...
15 Reactions
160 Replies
16K Views
Habari za muda huu wana jamvi, Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia neno MKATA UMEME likitumika katika mazingira tofauti hasa katika upande wa mpira wa miguu, limekua likitumika kwa mchezaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati naishi Tz kiswahili nilitumia kama means of communication. Sikuona umuhimu wake hata kidogo. Sasa nipo nchi za watu ki ukweli hakuna raha nnayoskia kama kukutana na watu wanaongea...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nwali nilidhani inaweza kuwa nimekukumbuka, lakini nahitaji msaada zaidi ili nisidhani tena
0 Reactions
111 Replies
28K Views
Nimeshindwa kung'amua vizuri tofauti kati ya making a living Vs make a life Msaada tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuandika makala ni weledi lakini pia ni kipaji. Mwandishi mzuri ni yule 1. anayefanikiwa kumfanya msomaji aischoke kusoma makala zake 2. Makala zake zinakuwa na mantiki na hoja. Sifa zote hizi...
3 Reactions
5 Replies
8K Views
Aliyeandika taarifa hii ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDOM.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo wakati narudi nyumbani jionii hii, nimeona dalala imeandikwa kwa nyuma "UTAMU HAUNA SIRI" nimejaribu kutafakari huu msemo nazidi kuumia kichwa. Karibuni mnisaidie.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nina tatizo kubwa la kuongea Kiingereza. Nimekuwa nikipoteza fursa nyingi kwa sababu ya kushindwa kuwa fluent kwenye kuongea English...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom