FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,009
- 40,680
Je, mtu anapokuwa 'impeached', huwa ina maana gani? Na nini humtokea mtu huyo, lets say Rais kwa mfano.
Ahaaa, kumbe sio kumvua urais? Sasa mkishakuwa hamna imani nae nini hufuata?Kama sijakosea ni 'KUTOKUWA NA IMANI NA RAISI'
Kumvua nguo rais ? Unataka kumfanya nini?Ahaaa, kumbe sio kumvua urais? Sasa mkishakuwa hamna imani nae nini hufuata?
'Kumvua urais' ni 'kumvua nguo'? Jiheshimu, na usitafute gereza kwa lazima.Kumvua nguo rais ? Unataka kumfanya nini?
Sasa nini kinafuata baada ya kutokuwa na imani na Rais?Yaani Marekani wanalima na kula sana Matunda aina ya Peach hivyo wakipiga kura ya kutokuwa na imani wanasema Impeachment na Ingekuwa Africa ya kusini wangesema ImApplement au Maparachichiment
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akishapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae, nini humtokea? Au nini kinafuata sasa..?Siyo rais tuu anaweza kuwa impeached.. Impeachment inaweza kutokea pia kwenye nchi ambazo ndani ya mfumo wa uongozi Kuna waziri mkuu..waziri mkuu anaweza kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye.
Mfano mzuri ni Tanzania..nchi zinazofuata mfumo wa presidential democracy kitu Kama hiki ni jambo la kawaida Kupitia mfumo wa "check and balance "
Ulichoandika kinafanana na jina lakoKupandishwa cheo ukimteka mtu
Mtu akishapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae, nini humtokea? Au nini kinafuata sasa..?
Someone has to be taken out of power by the judiciary.Mtu akishapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae, nini humtokea? Au nini kinafuata sasa..?
Francis da Don,Je, mtu anapokuwa 'impeached', huwa ina maana gani? Na nini humtokea mtu huyo, lets say Rais kwa mfano.
impeachement is the way of removing irresponsible leader who get power under democratic system(election) ambapo bunge hupiga kura kumpinga raisJe, mtu anapokuwa 'impeached', huwa ina maana gani? Na nini humtokea mtu huyo, lets say Rais kwa mfano.
Bwana Trump anajandaa kufika mbele ya Seneti mwezi ujao, lakini bunge hilo linadhibitiwa na wanachama wengi wa chama chake na huenda asipige kura ya kumuondoa madarakani.
Rais ametaja mchakato hu
MTU kauliza jambo zuri tupate elimu watu mnaleta ukima!!!mitoto ya FB imehamia hukuYaani Marekani wanalima na kula sana Matunda aina ya Peach hivyo wakipiga kura ya kutokuwa na imani wanasema Impeachment na Ingekuwa Africa ya kusini wangesema ImApplement au Maparachichiment
Sent using Jamii Forums mobile app